Ni Adhabu gani nzuri ya kumpa Hawara ambaye unamwambia asipige Simu muda ukiwa na Mkeo na Yeye kwa Makusudi anapiga na Kukuponza?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,581
117,723
Naomba majibu yenu ya haraka kwani kuna Mpuuzi Mmoja ( Demu wa Njje ) naona anataka kulazimisha nimwache mazima leo baada ya Kuniponza tena kwa Makusudi. Hata kama Wanaume tuna Mahawara zetu Nje ( Nje Cup ) ila kuna muda huwa tunapenda Kucheza pia Mechi zetu za Kawaida na Kimashindano na Heshima za NBC Premier League.
 
Tunataka siri ya mwenge mkuu. Hawara hatuhusu bana
 
Sikuamini Utanibandulia Mpuuzi Wewe.
20240331_235606.jpg
 
Kamshtaki kwa Mzee Cherehani, muuza mihogo maarufu wa soko la Kawe. Huyo ndiye kiboko ya wanawake wachepukaji.
 
Back
Top Bottom