THINKINGBEING
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 2,779
- 1,304
Hatimaye ile nguvu ambayo umma wa waTanzania umekuwaku ukiitegemea pale watawala wanapofanya ndivyo sivyo imekufa rasmi baada ya BAVICHA kubariki hilo litokee.
Falsafa ya nguvu ya umma/people's power ya CHADEMA kwa muda mrefu imetumika kuongoza harakati ambazo matokeo yake hayapaswi kupuuzwa hata kidogo.
Kwa bahati mbaya kiongozi mpya wa CHADEMA ndugu Lowassa amesema hataki kuona falsafa hiyo pendwa ikiendelea kufanya kazi.
Akitoa muelekeo huo mpya wa chama Lowassa alisema;
"Uanaharakati ni nini, ni ile unagombea jambo, unafanya maandamano, unasukuma hiki, unasukuma hiki, unaregista hiki, kupiga mistari kwenye ukuta, unaweka matangazo, na nini, halafu mnazuia serikali isifanye kazi yake, maandamano kila siku, huo ndiyo uanaharakati".
Baada ya kuuelezea uanaharakati alisema CHADEMA haitaendelea kufanya hayo tena.
Baada ya tamko la Lowassa mwenyekiti wa CHADEMA mh.Mbowe aliibuka na kuwakataza BAVICHA wasiende Dodoma kufanya harakati waliyokusudia.
Leo BAVICHA wamesema rasmi wametii kauli ya Mbowe japo hawakubaliani nayo na kudai ni itifaki imewalazimisha kukubali.Kitendo hiki kinatosha kusema ile falsafa ya PIPOZ POWER kwaheri.
Sasa kama Wapo na fisadi hiyo pipoz pawa wataipataje?Hatimaye ile nguvu ambayo umma wa waTanzania umekuwaku ukiitegemea pale watawala wanapofanya ndivyo sivyo imekufa rasmi baada ya BAVICHA kubariki hilo litokee.
Falsafa ya nguvu ya umma/people's power ya CHADEMA kwa muda mrefu imetumika kuongoza harakati ambazo matokeo yake hayapaswi kupuuzwa hata kidogo.
Kwa bahati mbaya kiongozi mpya wa CHADEMA ndugu Lowassa amesema hataki kuona falsafa hiyo pendwa ikiendelea kufanya kazi.
Akitoa muelekeo huo mpya wa chama Lowassa alisema;
"Uanaharakati ni nini, ni ile unagombea jambo, unafanya maandamano, unasukuma hiki, unasukuma hiki, unaregista hiki, kupiga mistari kwenye ukuta, unaweka matangazo, na nini, halafu mnazuia serikali isifanye kazi yake, maandamano kila siku, huo ndiyo uanaharakati".
Baada ya kuuelezea uanaharakati alisema CHADEMA haitaendelea kufanya hayo tena.
Baada ya tamko la Lowassa mwenyekiti wa CHADEMA mh.Mbowe aliibuka na kuwakataza BAVICHA wasiende Dodoma kufanya harakati waliyokusudia.
Leo BAVICHA wamesema rasmi wametii kauli ya Mbowe japo hawakubaliani nayo na kudai ni itifaki imewalazimisha kukubali.Kitendo hiki kinatosha kusema ile falsafa ya PIPOZ POWER kwaheri.
Ulivyonza nikama umesikitika lakini ulivyomaliza nikama umefurahi, hujaeleweka subiri teuzi kama Mrema kapata, JPM bado anazo teuzi utapata tu.
wao wenyewe walijua hawatafanya ujinga waliokuwa wanalopoka. walikuwa wanajifurahisha tu.
Ccm ni takataka uchafu mnasikitishaSasa kama Wapo na fisadi hiyo pipoz pawa wataipataje?
Haaa mkuu Mimi sina chama ila kwa haya yanayoendelea ni bora hata wangekaa kimyaUnaonekana wewe ni mwanachama wa chama cha mapinduzi, sitegemei wewe kuikibali bavicha. Endelea na imani yako kwa chama chako. Acha bavicha nao wafanye majukumu yao.
Mkuu mi siogopi kutukanwa nilisema nitasema ukweli daima!!!Huo ndo ukweli halisi lakini subiri mnvua ya matusi, iko jirani tu.