A
Anonymous
Guest
Huku mkoani Geita, Mtaa wa NMC kumekuwa na udanganyifu mkubwa sana wakati zoezi la uandikishaji likiwa linaendelea.
Kumekuwepo na suala la uandikishwaji hewa wa Wapiga Kura huku idadi ya Watu waliyoidhinishwa kupiga kura imezidi idadi ya Watu waliondikishwa.
Kuna watu wameandikishwa ambao sio wakazi wa eneo hili na wengine ni watoto ambao hawajafikia umri sahihi wa kupiga kura. Kiufupi zoezi lilijaa hujuma na udanganyifu wa hali ya juu.
Nadhani sasa ni muda sahihi wa Wananchi kuinuka na kutumia nguvu tuliyonayo kupinga udanganyifu huu.
Hatua ya kwanza tuliyochukua ni kuweka pingamizi la kisheria na kama hilo halitawezekana ni vyema Wananchi tukaungana kuwaondoa kwenye mistari Watu wote wasiostahili siku hiyo ya kupiga kura au Mkurugenzi aje mwenyewe awaondoe maana tumeshamtaarifu.
Huu sio mpango wa watendaji na makarani, huu ni mpango wa CCM na sisi wananchi wa Geita mtaa wa NMC tutasimama imara kutetea haki zetu kama Wananchi.