Nguvu ya bikra katika mapenzi

kijana mkimya

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
277
121
Nimekuwa nikisikia habari nyingi kuhusu bikra lakini sikuziamini kivilee, nilijua mwanamke ni mwanamke haijalishi ukimkuta bikra au vipi ili mradi ana maumbile ya kike basi hakuna kinachoharibika.

Miezi kadhaa iliyopita nimebahatika kumpata mwanamke ambae ni bikra ambae nilikuwa namuwinda kwa muda mrefu sana sema ndo hivyo kila kitu kinawakati wake. Hakuna kitu kizuri kwenye mahusiano ya kimapenzi kama kuwa na mwanamke ambae umemtoa mwenyewe bikra na kumfundisha mapenzi mwenyewe.

Kusema ukweli mi si mtulivu kwenye mahusiano lakini toka nikutane na huyu amenibadilisha sana maisha yangu ya kimahusiano, nahisi kitu ambacho sijawahi kuhisi maishani mwangu, kaimani ffulani moyoni na mwepesi ajabu. sijawahi kupenda hapo mwanzo kama navyopenda sasa.

Kwa ufupi nahisi raha na amani ya hali ya juu ambayo sijawahi kuipata mwanzoni. Sasa nimeamua kutulia kabisa na kuachana na binti wa mjini wanaotembeza k kila kukicha.

Nimepata wangu halisi miezi michache ijayo natarajia kuitwa baba najiona mwenye bahati kumpata mwanamke bikra, anajua thamani yake, anajua nini maana ya maisha, ana heshima na anajua yeye ni nani mwanamke bikra mtamu. nimeokota dhahabu nashukuru Mungu kwa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…