Tetesi: Ngorongoro kuwa kitalu cha uwindaji

mpinga shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
3,236
955
Kuna taarifa mpya kwamba eneo la hifadhi ya Ngorongoro, inatakiwa kubadilishwa iwe kitalu cha uwindaji.

Inadaiwa kuwa Mwarabu wa Loliondo anamwaga fedha kuhakikisha anapewa eneo hilo, hususan kreta.

Ndio maana wakubwa wanapambana kuwatoa Wamasai humo.
 
Wewe ni mpuuzi, bisha
 
Mkwere ndio masta blasta mwenyewe, au kuna mwingine?
 
Kuna taarifa mpya kwamba eneo la hifadhi ya Ngorongoro, inatakiwa kubadilishwa iwe kitalu cha uwindaji.

Inadaiwa kuwa Mwarabu wa Loliondo anamwaga fedha kuhakikisha anapewa eneo hilo, hususan kreta.

Ndio maana wakubwa wanapambana kuwatoa Wamasai humo.
Bora wafanye hivyo kwani ukiingia tu ujue wewe ni chakula cha risasi, ole wao wamasai watakaojificha porini.
 
Kuna taarifa mpya kwamba eneo la hifadhi ya Ngorongoro, inatakiwa kubadilishwa iwe kitalu cha uwindaji.

Inadaiwa kuwa Mwarabu wa Loliondo anamwaga fedha kuhakikisha anapewa eneo hilo, hususan kreta.

Ndio maana wakubwa wanapambana kuwatoa Wamasai humo.
Mwarabu wa Loliondo aliuziwa na mzee mwinyi.
Maza Pia atafuata nayo za mzee Mwinyi.
 
Kama nikweli,yale maneno ya Trump yawekwe kwenye bango kubwa pale Posta kwenye sanamu ya Askari
 
Kuna taarifa mpya kwamba eneo la hifadhi ya Ngorongoro, inatakiwa kubadilishwa iwe kitalu cha uwindaji.

Inadaiwa kuwa Mwarabu wa Loliondo anamwaga fedha kuhakikisha anapewa eneo hilo, hususan kreta.

Ndio maana wakubwa wanapambana kuwatoa Wamasai humo.
Huyo mwarabu ni nani ndani ya hili taifa?
 
Kuna taarifa mpya kwamba eneo la hifadhi ya Ngorongoro, inatakiwa kubadilishwa iwe kitalu cha uwindaji.

Inadaiwa kuwa Mwarabu wa Loliondo anamwaga fedha kuhakikisha anapewa eneo hilo, hususan kreta.

Ndio maana wakubwa wanapambana kuwatoa Wamasai humo.
Nimejitahidi sana kuacha kukwambia ila nimeshindwa ..hivyo narudia kwamba acha Upumbavu!

Jaribu kuandika kitu chenye uhalisi badala ya hisia.

Mwarabu analo eneo analolimiliki kisheria na analipia stahiki zote.

Ngorongoro crater iko mbali sana na Loliondo.

Pia hizo ni tarafa mbili tofauti kabisa.

Lazima wewe mpinga shetani utakuwa unaamini katika falsafa ya unyumbu nyumbu.

No research...No....right to....
 
Pamoja siwaamini sana wanasiasa Ila hii haihitaji uwe rocket scientist kutambua huyu ameleta uongo mtupu.

Naweza kuwa nasapoti move ya Masai kubaki au waondoke Ila hii uongo sio sababu ya mie kusapoti hizo pande zote mbili.

Anyway sababu hata yeye mleta mada ameandika kwamba ni TETESI basi haina haja ya kuumiza kichwa , itabaki kuwa tetesi
 
Kuna taarifa mpya kwamba eneo la hifadhi ya Ngorongoro, inatakiwa kubadilishwa iwe kitalu cha uwindaji.

Inadaiwa kuwa Mwarabu wa Loliondo anamwaga fedha kuhakikisha anapewa eneo hilo, hususan kreta.

Ndio maana wakubwa wanapambana kuwatoa Wamasai humo.

Hili haliwezi Kuwa la kweli hata iweje; crate Hakuna cha kuwinda, wanyama si wengi
 
Back
Top Bottom