Ngoma mpya ya Raymond

Dionize N

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,848
3,293
Naona kama kachemsha hivi kwa hii au nyie wadau mnasemaji mnaielewa au hamuielewe kama nisivyoielewa
 
najitaid ku upload mkuu inanisumbua sijui inaniepusha na copyright infringment ila najitaid itakuja
 
imenigomea hamna mwingne mwenyenayo anisaidie make imeshasambaa sana
 

Attachments

  • Raymond - Furaha.mp3
    3.9 MB · Views: 68
Nimeupata jana nikausikiliza, nkaona siwezi tena hata kuusikiliza, nkadelete
hatali sana, sijui team yao haukuusikiliza kwanza au ndo walisema acha tutest zari, bora hata ile ya ben pol ft mr. eazi japo naina beat na eazi kambeba sana ben
 
Nakuraaaaani kwa kutuwekea brabraaa.. kila nyimbo mapenzi tumechoka sasa.. ebu weka muziki..
 
Nakuraaaaani kwa kutuwekea brabraaa.. kila nyimbo mapenzi tumechoka sasa.. ebu weka muziki..
samahani sana kwa hilo mkuu ila watu walihitaji wausikie si unajua wengine hawapendi mboyoyo hata kama uharo wanataka wausikie pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…