Mimi ni muathirika wa kampuni hii. Kiukweli ni maumivu sana ukizingatia majibu yao si ya kuridhisha wala kujitosheleza. Sijui tumetambulika wengine ni wafanyakazi hewa