mwisho2016
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 724
- 625
Huyu chalii ya arusha imepigwa bao, pamoja na gharama kubwa sana mauzo Yale, namuona anapagawa, juzi baada ya kibano alitoa povu kibao akidai , .....'this a disgrace. They put four people that know nothing about football in charge of looking at the replay for VAR,” he posted on Instagram stories.
“There is no penalty. How can it be a handball when it hits his back! Go f*** yourselves!”
If a suspension is handed out, Neymar will now of course miss the start of next season’s Champions League, with PSG yet again failing to advance to the latter stages of the competition this year.
Mkuu, kwa mujibu wa hii sentensi ni kuwa bado hajapewa adhabu, ila inaelezea "endapo" akiadhibiwa, hiyo adhabu itakuwaje.if a suspension is handed out...
Hawo ni wa EPL. Na man u vs juve? The comeback? Je man inabebwa na marefa kweny champion league. Wewe kigagula was hatar. He man u ulaya na PSG imebebea, Wewe mwanga kabisaWrite your reply...
ila tuseme tu ukweli man u wanacheza sana na waamuzi
we angalia mechi ya Fa robo fainali against chelsea,jamaa walikuwa wakipga rafu ile mbaya,matic alikuwa anapewa red mapema tu,rashford nae
angalia mechi na southampton
tozi yuko sahihi
Anahama na adhabu. Ni lazima aitumikie, labda astaafu au afeHivi ikitokea akapewa hiyo adhabu halafu akahama team,ataendelea kuitumikia adhabu?
Duuuh ...kwa hiyo tulivyokuwa tunafungwa fresh tukishinda tunacheza na waamuzi ....Write your reply...
ila tuseme tu ukweli man u wanacheza sana na waamuzi
we angalia mechi ya Fa robo fainali against chelsea,jamaa walikuwa wakipga rafu ile mbaya,matic alikuwa anapewa red mapema tu,rashford nae
angalia mechi na southampton
tozi yuko sahihi
Vipi ikiwa hiyo timu atakayohamia haishiriki uefa mwaka huo,na ikashiriki mwaka unaofuata ile adhabu itaendelea au itakuwa ishaishaAnahama na adhabu. Ni lazima aitumikie, labda astaafu au afe
Kuna adhabu ya kutoshiriki kwa muda kadhaa au kutoshiriki kwa mechi kadhaa. Kama ni muda, utaendelea kuhesabika hata kama timu haishiriki (mfano Mtibwa Sugar ilifungiwa miaka mitatu CAF competitions na haikupata tiketi, muda ukaisha, mwaka jana ikashiriki). Kama ni idadi ya mechi, utazitumikia timu yako ikibahatika kupata nafasi ya ushiriki hata miaka ipite mingiVipi ikiwa hiyo timu atakayohamia haishiriki uefa mwaka huo,na ikashiriki mwaka unaofuata ile adhabu itaendelea au itakuwa ishaisha
hii ni hoja dhaifu sana kama Man United mbona hawachukui makombe kila mwakaWrite your reply...
ila tuseme tu ukweli man u wanacheza sana na waamuzi
we angalia mechi ya Fa robo fainali against chelsea,jamaa walikuwa wakipga rafu ile mbaya,matic alikuwa anapewa red mapema tu,rashford nae
angalia mechi na southampton
tozi yuko sahihi
ndio, sababu adhabu kapewa Neymar sio timuHivi ikitokea akapewa hiyo adhabu halafu akahama team,ataendelea kuitumikia adhabu?
That was not a penalty at all.The guy is right!Huyu chalii ya arusha imepigwa bao, pamoja na gharama kubwa sana mauzo Yale, namuona anapagawa, juzi baada ya kibano alitoa povu kibao akidai , .....'this a disgrace. They put four people that know nothing about football in charge of looking at the replay for VAR,” he posted on Instagram stories.
“There is no penalty. How can it be a handball when it hits his back! Go f*** yourselves!”
If a suspension is handed out, Neymar will now of course miss the start of next season’s Champions League, with PSG yet again failing to advance to the latter stages of the competition this year.
Mkuu vyombo vime prove ilikuwa penalty... Baadae sherehe itarudi kwa neymaThat was not a penalty at all.The guy is right!
Kwa vile maamuzi yameshatoka sawa.Ila kiuhalisia mpira uligonga mkono.Mkuu vyombo vime prove ilikuwa penalty... Baadae sherehe itarudi kwa neyma