Ney wa Mitego aanza kulialia kwa kuzuiwa kufanya show, akafanye show kwenye mikutano ya CHADEMA

Sijaona sababu nzito ya kumzuia Nay kufanya show. Mtazamo wake wa kisiasa usiwe sababu ya kumzibia hadi riziki. BASATA wapo kama NEMC. Yaani wao wakilala na kuamka wanawaza kuwadhibiti tu watanzania wenzao. Kumfungia kijana kama Nay ni upumbavu uliotukuka. Natumaini viongozi wa CCM watakemea huu ujinga kwasababu kinaumiza zaidi chama. Hakainde Hichilema alishinda urais Zambia sio kwasababu alikuwa na sera za maana... alishindia kura za huruma kwa manyanyaso aliyokuwa anapata yeye na chama chake. Viongozi wa CCM waikemee BASATA
 
Kabla ya kutaka sifa za kisiasa na kipuuzi,fikiria KWANZA maisha yako na familia yako. Wanaokupa sifa hawataguswa na matatizo yako zaidi ya kukaa mitandaoni nyuma ya keyboard kukufarijia au kukuunga Mkono kinafiki.

Bwege yule hua nawashangaa raia wakitaka kushindana na serikali.hakunaga mwisho mzuri zaid ya sie kukupa moyo tuh bhc ila matatizo anapata yeye na familia yake
 

Hana adabu akiachwa na wengine wataiga xx hakuna serikali inaweza vumilia upuuzi kwani serikali ni watu si malaika hao

Hata wewe ukiwa na nguvu mtu wa chini yako akikuingilia lazima umdhibiti

My take tuache wanasiasa wafanye siasa zao ila kama unajiamin bhc kua mwanaharakati
 
Afrika ndivyo ilivyo ukiwapinga

Lazima wakutie njaa

Hata walipomtoa obote Uganda watu wake wote walitiwa njaaa mbaya sana

Ova
 
Basata mziki wanaoimba usngusng
Sjui mwagia ndani,inama nkupake mafuta nk wanaziachia
Aise ndomana ushg unazidi kushamiri sahvi

Ova
 
Mziki wa ney na Roma ni miziki hatari kwa usarama wa taifa letu

Kwasababu wanayo yazungumza kwenye nyimbo zao yakikutana na vichwa vyepesi Basi tutegemee haya

Raisi hato heshimiwa,polisi watapigwa,barabara hazita pitika,

Kwa hiyo ney nitatizo Kama yalivyo matatizo mengine Yale ya kina mbowe,mwabukusi,tundulisu nk

Hivyo hapo wame mfanyia kitu kinaitwa figisu narudia Tena figisu

Karibu Tanzania inchi ya amani na Uhuru kiasi wakujieleza
 
Kukubali kuingiliwa au kuingilia mtu mwengine kinyume na maumbile ni kosa la kisheria,hivyo hivyo kuhamasisha. Kama msanii inampasa kufikiria kabla hajaimba nyimbo zake na lugha anayotumia kufikisha ujumbe aliokusudia.
Sawa sawa,Acha watu waendelee kuimba kusupport ushoga na uzinzi
Hizo ndizo nyimbo zinazokubalika

Ova
I
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…