Ney wa Mitego aanza kulialia kwa kuzuiwa kufanya show, akafanye show kwenye mikutano ya CHADEMA

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
58,976
69,640
Kwa kuwa yeye ni mwamba na amechagua kushindana na Serikali basi aache kulia Lia Bali ale

My Take
Namshauri Bwana Nay awe anapiga Show zake Kwa kutumia majukwaa ya chadomo atakuja kunishukuru.

View: https://www.instagram.com/p/CwvGRWYKxqk/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==


Ney wa mitego amewataka Baraza la sanaa la Taifa (BASATA) kumpa Barua ama kutangaza wazi kuwa harusuwiwi kufanya Show kutokana na kuandaa show kwa mwezi mzima na mwisho wa siku waandaaji kupigiwa simu na kuelezwa kuwa Naey haruhusiwi kufanya show.

Pia soma
- Ney wa Mitego achana na siasa, wewe ni wa kuonewa huruma, CHADEMA watakutumia na kukuacha

 
Wewe unaogopa neno "Mungu chukua na hawa" wanaume wa DAR wengi wenu ni zito brain.
Unadhani utaishi milele hapa duniani?
Kaza moyo kifo kipo waambie na wenzio waoga wa kufa.
Ona huyu boya, kaongea mengi ya kipuuzi. Sio kila mtu ana shobo na Dar
 
Back
Top Bottom