Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,765
- 4,826
Ifike pahali hawa Vibonde Yanga na Simba ipigwe mbugi hata kama ya pre season ama kirafiki kwa neutral ground, namanisha sio bongo lets say ngoma inapigiwa Kasarani huko ama kwa Madiba na ikibidi Ulaya Ulaya.
Wanaogopana mbona wenziwe huko utasikia City anakichapa na Barca, mara Chelsea vs Man City, Arsenal vs Man U nk nk nk.
Sio kila siku shamba la bibi kwa mkapa na viwanja vya mikoani ambako wamezika vichwa vyao vya mbuzi.
Nawasilisha kwa level za kimataifa na wakimataifa wa Mnyama na Chura