BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,724
- 12,687
Ndani ya masaa 24 nimetumia dawa zote hizo hakuna nafuu niliyopata bado sikio la upande wa kulia linauma kichizi kama mtu ananichoma na msumari tena wa moto.
Siwezi kulala, siwezi kutembea hata umbali wa hatua kumi bila ya kukaa chini ndani ya muda mfupi nimeona dunia kama hell. Nimepita picha kwa nini mgonjwa anapanda katarama toka mwanza kuja Dar es salaam Kawe kwa Mwamposa jibu ni kuwa anatafuta nafuu ya maumivu yake.
Kama aya ndio maumivu wanayopitia wenye sikoseli basi wana kila sababu ya kuchukia kuishi.
Mzima wa afya Ina maana kubwa sana.