Neno moja kwa hawa watoto

M.B.W.A.



Management By Walking Around (M.B.W.A.) itawahusu ili hao mbwa wakue vizuri...
 
maisha ni ya ajabu sana maana kuna watu walipitia maisha hayo hayo lakini leo hii wanajiitwa eti celebtities.... ukiwaambia ndo maisha waliopitia wanabisha. powa tu
usitishwe na maceleb wa insta mkuu hamna kitu hao wanaunga unga tu kuazma viwalo kupiga picha na hela za wajomba zao na ada za shule akifka gheto kali picha za kutosha kupiga picha msos utazan dagaa hajawahig ziona kumbe kadownload katumia 360 full editing kumbe mtu analala kona kama rungu si unaona hata le mburulaz ni full mauongo you know
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…