Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 3,923
- 9,093
Yaani sana baraza la mawaziri linakaa kabisa linasema sawa.CCM ni chama cha kikatili sana , tushaandika sana humu lakini tumeishia kuitwa wachochezi .
Hana uwezo na hiyo nafasi JPM akumtimua kwa kumuonea ni baada ya kutaka kuendelea kuomba serikali imuwekee dhamana ya mikopo ndio akaona inatosha.Nehemia ni aina ya watendaji wapendao sifa za kijinga na mshirika wa mafisadi na ndiyo maana JPM alimla kichwa.
Vilevile, huyo ni mmoja wa waliorejeshwa na Samia ili kumkomoa marehemu JPM 😄
CCCM siyo chama, ni kikundi cha kigaidi.CCM ni chama cha kikatili sana , tushaandika sana humu lakini tumeishia kuitwa wachochezi .
Shule muhimu.Yaani sana baraza la mawaziri linakaa kabisa linasema sawa.
Tibaijuka sijui kwa sababu alishakuwa mkuu wa UN makazi akaona ubovu wa sera hii aliizuia alipokuwa waziri.
It’s just immoral isitoshe unapotoa watu kuna fidia za ku walipa kwanza na allocations za makazi pale ambapo lazima uvunje jengo.
Sio kwamba maeneo ya wazi, hayo ni machache na ni yao NHC.Hiyo imeshaonekana ni fursa ya upigaji, hao watu kama wana pesa wakaanzishe miji mipya na siyo kuja na ujanja ujanja kupora maeneo ya wanyonge kwa kisingizio kwamba hawana uwezo wa kuyaendeleza.
National Housing hazikujengwa ili watu wakae maisha yao yote, na wajukuu wazirithi pia.Sio kwamba maeneo ya wazi, hayo ni machache na ni yao NHC.
Ila wana mpango wa kuvunja blocks na kutoa wapangaji na hawana hela ya wao kuendeleza. Baada ya hapo wanatafuta matajiri wajenge wao kama wabia tu.
Sasa kwanini utoe watu in the first place.
Tanzania tumepigwa na kitu kizito, kupona zali hili tujiandae kumuondoa 2025Hivi hii sera ya ubia ya NHC ilipelekwa kabisa kwenye baraza la mawaziri, wakailewa na kusema sawa.
Mtu ana mpango wa kwenda kuvunja majengo kadhaa kisa tu yapo prime areas na kuwatoa wapangaji sio tu hana hela ya kuendeleza yeye mwenyewe bali the immorality of it all is beyond me.
Kama hela kila kitu basi sasa hivi kusingekuwa na nyumba za ovyo Mikocheni, Msasani, Tetegeta, Kariakoo, Ilala na prime areas zingine za bongo.
Kila mwenye nyumba tokea miaka ya 80 isiyoendana na nyumba zinazojengwa leo maeneo hayo sasa hivi ingekuwa keshahama kitambo kwa kuuza.
Uwezi kunyanyasa watu kwa sababu eneo ni prime na serikali ina miliki nyumba kwa hivyo vunja tu.
Juzi raisi Samia katoka kwenye msiba uingereza eneo alilopanda basi maeneo ya ‘Marble Arch’ mbele kidogo tu ‘Oxford Street’ sidhani kama kuna prime area duniani kama hapo (labda Tokyo) na kuna council flats zilijengwa zamani. Safari yake ya mile mbili kufika msibani mpaka Westminster njia nzima ina sehemu kuna nyumba za serikali in short ‘west end’ yote ina maeneo yana council flats ambazo ingelikuwa ni matakwa ya matajiri tu wangeshanunua zote na kuzivunja. Lakini hata kwa nchi za mabeberu it’s immoral and inhumane uwezi fanya ivyo.
Na ndio sera inayofanya watu matajiri watafute maeneo mengine ya kuendeleza na kutengeneza future prime areas.
Ni hivi huyu Nehemia hana uwezo na nafasi anayopewa hapo NHC alianza Tibaijuka kumfunga speed governor alizuia huu mpango alipokuwa waziri, Lukuvi nae akamfunga tena speed governor kwenye kuwapandishia kodi wapangaji kwa asilimia 200% na kumtaka aache tena kupandisha kodi ovyo (hizo zilikuwa zama za J.K) na Magufuli ndio akamtibua kabisa kwa kutaka kuendelea serikali kumpatia dhamana ya mikopo ambayo inaishia kuhudumiwa na walipa kodi badala ya miradi anayojenga.
Huyo mtu hana uwezo wa kufanya miradi ya kibiashara inayohitaji mbinu anataka vitu rahisi tu kutekelezeka.
Hiyo sera inaenda waumiza watu kwa sababu ambazo hazina msingi wa kibiashara ya shirika la umma ata kidogo.
Ushawahi ata kuusoma mkataba wa NHC au washirika la nyumba yoyote duniani kuhusu contract terminations au rules za kuachiana mikataba and the logic behind it?National Housing hazikujengwa ili watu wakae maisha yao yote, na wajukuu wazirithi pia.
Ni kama transitional programme. kwa hiyo siyo sawa watu kudhani zile ni nyumba zao.
upigaji uendeleeHivi hii sera ya ubia ya NHC ilipelekwa kabisa kwenye baraza la mawaziri, wakailewa na kusema sawa.
Mtu ana mpango wa kwenda kuvunja majengo kadhaa kisa tu yapo prime areas na kuwatoa wapangaji sio tu hana hela ya kuendeleza yeye mwenyewe bali the immorality of it all is beyond me.
Kama hela kila kitu basi sasa hivi kusingekuwa na nyumba za ovyo Mikocheni, Msasani, Tetegeta, Kariakoo, Ilala na prime areas zingine za bongo.
Kila mwenye nyumba tokea miaka ya 80 isiyoendana na nyumba zinazojengwa leo maeneo hayo sasa hivi ingekuwa keshahama kitambo kwa kuuza.
Uwezi kunyanyasa watu kwa sababu eneo ni prime na serikali ina miliki nyumba kwa hivyo vunja tu.
Juzi raisi Samia katoka kwenye msiba uingereza eneo alilopanda basi maeneo ya ‘Marble Arch’ mbele kidogo tu ‘Oxford Street’ sidhani kama kuna prime area duniani kama hapo (labda Tokyo) na kuna council flats zilijengwa zamani. Safari yake ya mile mbili kufika msibani mpaka Westminster njia nzima ina sehemu kuna nyumba za serikali in short ‘west end’ yote ina maeneo yana council flats ambazo ingelikuwa ni matakwa ya matajiri tu wangeshanunua zote na kuzivunja. Lakini hata kwa nchi za mabeberu it’s immoral and inhumane uwezi fanya ivyo.
Na ndio sera inayofanya watu matajiri watafute maeneo mengine ya kuendeleza na kutengeneza future prime areas.
Ni hivi huyu Nehemia hana uwezo na nafasi anayopewa hapo NHC alianza Tibaijuka kumfunga speed governor alizuia huu mpango alipokuwa waziri, Lukuvi nae akamfunga tena speed governor kwenye kuwapandishia kodi wapangaji kwa asilimia 200% na kumtaka aache tena kupandisha kodi ovyo (hizo zilikuwa zama za J.K) na Magufuli ndio akamtibua kabisa kwa kutaka kuendelea serikali kumpatia dhamana ya mikopo ambayo inaishia kuhudumiwa na walipa kodi badala ya miradi anayojenga.
Huyo mtu hana uwezo wa kufanya miradi ya kibiashara inayohitaji mbinu anataka vitu rahisi tu kutekelezeka.
Hiyo sera inaenda waumiza watu kwa sababu ambazo hazina msingi wa kibiashara ya shirika la umma ata kidogo.
Ikishindikana inabidi ujifunze kuishi na shetani. Mie nimejiandaa kisaikolojia kwa njia hiyo.Tanzania tumepigwa na kitu kizito, kupona zali hili tujiandae kumuondoa 2025
Bila ya kusahau ukosefu wa utu, na kufikiria matatizo wanayo wapelekea wananchi bila ya sababu za lazima.upigaji uendelee