johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,165
- 164,638
Mbunge wa Viti Maalum mh Neema Lugangira amewashukuru Sana Waislamu wa Manispaa ya Bukoba kwa kumualika Kuwa Mgeni Rasmi Baraza la Eid Al Adha
Neema amemshukuru Sana Mungu wa Mbinguni akisema alipopata Mwaliko alijitafakari kama Mkatoliki Je nitaweza?! Mungu wa mbinguni akamwezesha
Ikumbukwe hivi karibuni Neema alikuwa nchini Vatican kwa Mwaliko wa baba Mtakatifu Papa Francisco aketiye Kitini pake mtume Petro
Neema ameshukuru huko Ukurasani X
Isiwe Nongwa, Ahsanteni 😂