Baraza la mitihani Tanzania limezuia zoezi la usajili wa mitihani mtandaoni kabla ya tarehe ya mwisho wa zoezi hilo ambayo ni tar 31/3/2017. Tangu jana wanafunzi wengi wamekuwa wakihangaika kujisajili bila mafanikio.
We kazi yako kulaumu tu. Kuna sababu nyingi binafsi hadi mtu kutoapply mapema. Pia muda si umetangazwa hadi tarehe 31march, hivyo mtu hata akienda tar 31march, hajakosea.
Ila ni imani yangu Necta wanatoa mwezi mmoja wa nyongeza kila mwaka!