Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Mchezaji Luís Miquissone hakuwa mchezaji mbaya, ila ugomvi ndani ya uongozi ulisababisha afungwe miguu ili aonekane mzito, halafu kumbukeni Micquisone amesajiliwa kwa nguvu ya Mo Dewji na Try Again na wao ndio wanamlipa salary, wale waliokuwa wakipenda 10 percent hawakufurahia kukosa asilimia 10, wakamkaanga bana, Micquisone akawa kituko uwanjani, huko Zanzibar mchezaji huyo amefanyiwa zindiko kubwa sana na sasa amerudi upyaaaaaaaaa.
Kijana anateleza kushoto kama sio yeye vile, hakabiki tena kuanzia sasa, wazee wamegundua wachezaji wetu wamefanyiwa mazingaombwe na sasa taratibu wanaanza kurudi, kuna siku mtu atalambwa 20 uwanjani we subiri tu.
Mwanzo mwisho Micquisone sasa ni yule yule, kaeni chonjo