Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,928
- 79,391
Allah Akbar !!.
Jambo Moja ninalowakubali WAISLAM ni Imani na Misimamo mikali.
Quran tukufu inakata Uonevu na Dhuluma Kwa namna yoyote.
Kama Mzee Kibao alikua Kiongozi Mkubwa wa CHADEMA, na Muislam mwenzenu, vipi kuhusu Raia wa kawaida kabisaa ambaye ni Muislam na ni Mfuasi wa kawaida wa CHADEMA ?.
Msihadaike na Viongozi wa kidini ambao wanapewa Ulinzi na Maisha ya kifahari na Serikali, na mwisho mkasahau Quran Tukufu inataka nini.
Amani bila Haki NI UONGO NA UZUSHI .