Je unamiliki duka la jumla na hata rejareja?
Unapata shida ya kufanya stock?
Hujui kama unapata Loss au Faida kwa siku,Wiki Mwezi na hata Mwaka?
Una duka moja au zaidi na yote unataka kupata maendeleo yake?
Basi usiwe na wasiwasi kuanzia wiki ijayo ntakua Mikoa ya kanda ya ziwa Mwanza Geita na Mara kukupatia system nzuri kwa ajili ya kukip track ya mauzo na manunuzi.
Kujua balance ya bidhaa zako
Kujua stock yako ina value gani
kujua unapata faida kiasi gani kwa siku mwezi na hata mwaka
Kukip record ya suppliers wako
Usisite kuweka oda yako mapema ni Tumie private message kwa maelezo zaidi