Hapo ndo siwaelewagi CCM...Ndugu yangu, kaka yangu, rafiki yangu JK. Nasikia una mpango wa kumwachia uenyekiti Yule jamaa yetu ambaye hatabiriki. Nimeona Juzi wakati Lubuva anakabidhi ripoti ya uchaguzi pale magogoni mheshishimiwa huyu, alikupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Ati anasema atawalinda marais wastaafu wote, wakati akijua kabisa kuwa wanalindwa na katiba.hiyo yote nilijua ni mbinu tu nyepesi ya kukufanya ujisikie ili umpe uwenyekiti.
Sasa Mimi Kama mwanachama wako mwaminifu nakuomba, usimpe mpaka muda wako umalizike. Sababu ni kwamba, kaka huku mtaani watu wote wamenuna. Tangu ulipoondoka ukatuaminisha ambayo wewe mwenyewe hukuyaamini, hali ni mbaya sana. Sasa wanachama wenzangu tunajiuliza, je? Ikiwa tu hapa tulipo tayari tuko hoi,ukimpa tena huo uenyekiti si itabidi tukimbie kabisa tukafie mbali! Tuone huruma kaka yetu mkubwa. Imeshatosha. Ukimpa tu. Kadi yangu utaikuta mlangoni kwako na Mimi sipo.
Ndugu yangu, kaka yangu, rafiki yangu JK. Nasikia una mpango wa kumwachia uenyekiti Yule jamaa yetu ambaye hatabiriki. Nimeona Juzi wakati Lubuva anakabidhi ripoti ya uchaguzi pale magogoni mheshishimiwa huyu, alikupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

siyo U DC , Kwani jamani hamuoni hali ni mbaya? Sasa hivi ni Kama kila kitu kimesimama. Mfano mdogo ni bandari. Yeye alifikiri ni rahisi kuendesha, na hata alidiriki kumkejeli Kaka Jk kuwa ati nchi imeoza.Vijana wa Lumumba baada ya kukoswa u-DC sasa wamecharuka.
Ufisadi ni sawa kupambana nao lakini mbona matunda hatuyaoni?kumbuka ni bado miezi 3 tu kutimia mwaka. Mitaani hakutamaniki, watu wanatia huruma.hakuna pesa. Mwisho kabisa tutajiunga na vijana wa CHADEMA Kule dodoma kuzuia hii kitu.Mbona alipoingia Mzee Mwinyi ndani ya miezi 3 tu nchi ilifunguka kwa furaha kwa sera yake ya RUKSA?Hapo ndo siwaelewagi CCM...
Yaani mmempa bendera ya CCM kuipeperusha kwenye kinyang'anyiro cha uraisi... Akashinda. Iweje muhofie kumpa uenyekiti wa chama..?? Mjue kuwa Kama raisi, anaongoza watu wengi kuliko idadi ya wanachama wa CCM
1. KWANINI MNAHOFIA..??
2. KWA NINI HAKUKUWA NA MANENO MANENO KAMA HAYA ENZI ZA WATANGULIZI WA MAGUFULI..???
3. KUTOTABIRIKA KWAKE, MNAMAANISHA MAKUNDI YENU NDANI YA CCM..??
4. AU MNAHOFU NA KUFUMULIWA UFISADI..??
Jambajamba inawavuruga mafisadi...hayawi hayawi yamekuwa...July ndo hiyo ishafikadu ngumu kumesa
Ndugu yangu, kaka yangu, rafiki yangu JK. Nasikia una mpango wa kumwachia uenyekiti Yule jamaa yetu ambaye hatabiriki. Nimeona Juzi wakati Lubuva anakabidhi ripoti ya uchaguzi pale magogoni mheshishimiwa huyu, alikupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Ati anasema atawalinda marais wastaafu wote, wakati akijua kabisa kuwa wanalindwa na katiba.hiyo yote nilijua ni mbinu tu nyepesi ya kukufanya ujisikie ili umpe uwenyekiti.
Sasa Mimi Kama mwanachama wako mwaminifu nakuomba, usimpe mpaka muda wako umalizike. Sababu ni kwamba, kaka huku mtaani watu wote wamenuna. Tangu ulipoondoka ukatuaminisha ambayo wewe mwenyewe hukuyaamini, hali ni mbaya sana. Sasa wanachama wenzangu tunajiuliza, je? Ikiwa tu hapa tulipo tayari tuko hoi,ukimpa tena huo uenyekiti si itabidi tukimbie kabisa tukafie mbali! Tuone huruma kaka yetu mkubwa. Imeshatosha. Ukimpa tu. Kadi yangu utaikuta mlangoni kwako na Mimi sipo.
Wanaishi Kwa shemeji hawawezi kuyajua yote hayoSi
siyo U DC , Kwani jamani hamuoni hali ni mbaya? Sasa hivi ni Kama kila kitu kimesimama. Mfano mdogo ni bandari. Yeye alifikiri ni rahisi kuendesha, na hata alidiriki kumkejeli Kaka Jk kuwa ati nchi imeoza.
Sasa Mbona hatuoni kipya, maisha kila Siku ni bora ya jana. Mwenye Duka hauzi mwenye bar hauzi mjenzi hajengi. Viwanda havizalishi Kama zamani kwa sababu wateja hakuna. Jamani hali ni mbaya mno, mwulize muuza matofali Kama siku hizi kuna mteja wa tofali.!
Huyo wala siyo mwanaccmNyie ndio mafisadi wa chama mnaogopa utumbuaji wa Magufuli
Wewe ni fisadi wa CDM kadi ya ccm unafanyia nini?Ndugu yangu, kaka yangu, rafiki yangu JK. Nasikia una mpango wa kumwachia uenyekiti Yule jamaa yetu ambaye hatabiriki. Nimeona Juzi wakati Lubuva anakabidhi ripoti ya uchaguzi pale magogoni mheshishimiwa huyu, alikupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Ati anasema atawalinda marais wastaafu wote, wakati akijua kabisa kuwa wanalindwa na katiba.hiyo yote nilijua ni mbinu tu nyepesi ya kukufanya ujisikie ili umpe uwenyekiti.
Sasa Mimi Kama mwanachama wako mwaminifu nakuomba, usimpe mpaka muda wako umalizike. Sababu ni kwamba, kaka huku mtaani watu wote wamenuna. Tangu ulipoondoka ukatuaminisha ambayo wewe mwenyewe hukuyaamini, hali ni mbaya sana. Sasa wanachama wenzangu tunajiuliza, je? Ikiwa tu hapa tulipo tayari tuko hoi,ukimpa tena huo uenyekiti si itabidi tukimbie kabisa tukafie mbali! Tuone huruma kaka yetu mkubwa. Imeshatosha. Ukimpa tu. Kadi yangu utaikuta mlangoni kwako na Mimi sipo.
Wanaomtetea Magufuli mnawaita vijana wa Lumumba, wanaomponda magufuli bado mnawaita vijana wa Lumumba; nyinyi vipi? au ndo ile ya kusema chama chenu hakina msimamo?Vijana wa Lumumba baada ya kukoswa u-DC sasa wamecharuka.
Major siyo mwana CCM. Acha kuzuga wewe muhuni muhuni tu.Ndugu yangu, kaka yangu, rafiki yangu JK. Nasikia una mpango wa kumwachia uenyekiti Yule jamaa yetu ambaye hatabiriki. Nimeona Juzi wakati Lubuva anakabidhi ripoti ya uchaguzi pale magogoni mheshishimiwa huyu, alikupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Ati anasema atawalinda marais wastaafu wote, wakati akijua kabisa kuwa wanalindwa na katiba.hiyo yote nilijua ni mbinu tu nyepesi ya kukufanya ujisikie ili umpe uwenyekiti.
Sasa Mimi Kama mwanachama wako mwaminifu nakuomba, usimpe mpaka muda wako umalizike. Sababu ni kwamba, kaka huku mtaani watu wote wamenuna. Tangu ulipoondoka ukatuaminisha ambayo wewe mwenyewe hukuyaamini, hali ni mbaya sana. Sasa wanachama wenzangu tunajiuliza, je? Ikiwa tu hapa tulipo tayari tuko hoi,ukimpa tena huo uenyekiti si itabidi tukimbie kabisa tukafie mbali! Tuone huruma kaka yetu mkubwa. Imeshatosha. Ukimpa tu. Kadi yangu utaikuta mlangoni kwako na Mimi sipo.
Tatizo lako ni kwamba kila mwenye mawazo tofauti na wewe, unamwona ni mpinzani. Kila mtu anao uhuru wa kutoa duku duku lake na hiyo ndiyo demokrasia. Ina maana hata wale walioimba wimbo wa "tuna imani na Lowasa" tena wazi wazi mbele ya Mwenyekiti wa chama ktk mikutano ule wa kutafuta mgombea wa urais ccm na wao pia siyo CCMMajor siyo mwana CCM. Acha kuzuga wewe muhuni muhuni tu.