Ndugu Ahmed Omar, aliyewahi kuwa Msaidizi wa Maalim Seif Shariff Hamad na Juma Duni Haji na Wanachama wa ACT WAZALENDO wajiunga na CCM

Nitampiga Mchungaji ili Kondoo watawanyike...

Maalim Seif ameondoka akiwaacha mashabiki na wafuasi wake wakiwatawanyika kuelekea CCM 🙌

Kwa mara ya kwanza baada ya miaka zaidi ya 20 Zanzibar wataenda kwenye Uchaguzi Mkuu Mwakani 2025 wakiwa na uhakika wa Ushindi Kwa asilimia 100🙌
 
Kwa hiyo zito amekamilisha kazi
Aliyotumwa bado ya mbowe?

Wanamapinduzi wazalendo bado tupo na wengine wanazaliwa Kila kukicha

Ni ujinga wanaccm kushangulia kupokea wapinzani wakati ajenda muhimu za nchi bado hazijashghulikiwa
 
Mkuu kwani wenzio wanajali basi, muhimu wameingia kwenye payroll ya Serikali

Ule upinzani wa miaka ya 1995 hadi 2015 ndiyo pengine tusiuone tena

Vitaachwa vyama dhaifu vya Upinzani ili ionekane kwamba Tanzania bado ina fuata mfumo wa vyama vingi but in reality hakutakuwa na upinzani 🙌
 
Simuamini mwanasiasa yoyote yule, awe wa CCM,CHADEMA, ACT, labda kidooogo baba yangu mzee rungwe, mzee wa pilau 😄 🤣 😂

Ukweli wanasiasa wote bonge lao 1 tu.
 
Kwa hiyo zito amekamilisha kazi
Aliyotumwa bado ya mbowe?

Wanamapinduzi wazalendo bado tupo na wengine wanazaliwa Kila kukicha

Ni ujinga wanaccm kushangulia kupokea wapinzani wakati ajenda muhimu za nchi bado hazijashghulikiwa
Usiwalaumu wao kama wananchi hawajitambui unategemea wafanye nini sasa?
 
Back
Top Bottom