Inaelekea tukio la msiba limewauma sana hawa jamaa, wanatamani ungekuwa wakwao.
Sijajua kinachowanyima raha ni rambirambi au kutumia msiba kisiasa. Ndio tatizo la kuingiza siasa kwenye kila jambo.
Sasa kamati ya maadili imeshatoa maamuzi na wameyaafiki, mambo ya kuwakamata wabunge waliopo kwenye msiba yanatoka wapi?
RC wa Arusha aligoma kuwapa nafasi mbunge wa Arusha na wapinzani wengine kwenye msiba wa shule, tena haukuwa wa chama chao, nashangaa leo kusikia analalamika eti itifaki na serikali haijazingatiwa kwenye msiba wa chadema.