Ndoto za wazazi wengi ni kuona vijana wao wanaoa...

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,354
Wazazi wengi wanapenda au wanataka vijana wao waoe...lakini vijana wengi hawana kabisa mawazo ya kuoa...sabsbu ni nini?
 
Sababu wanawake wa kuoa hawapo.....unakuta mwanamke muda wote yuko kwenye mitandao ya kijamii mara facebook, mara instagram anauza sura huko kweli utaoa mwanamke kama huyo? Mwanamke yoyote alieko kwenye mitandao ya kijamii hafai kuoa...
 
Kweli kuna chembechembe nyingi za ukweli
 
Sababu wanawake wa kuoa hawapo.....unakuta mwanamke muda wote yuko kwenye mitandao ya kijamii mara facebook, mara instagram anauza sura huko kweli utaoa mwanamke kama huyo? Mwanamke yoyote alieko kwenye mitandao ya kijamii hafai kuoa...
Kusingekuwa na wanawake mitandaoni mngefungua?
 
Maisha yamekuwa magumu na wanawake wenye sifa za kuolewa wamekuwa adimu sana.Bora lawama kuliko hasara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…