Sasa mkuu umeweka post afu hakuna maelezo. Pengine wewe usha soma tayari gazeti hilo. Ulichotakiwa hapa ni kuweka gazeti+ sammary ya kilichomo kuhusu hiyo ndoto ya magu
Sijui wanakuwa ni wahariri wa haya magazeti wanayoyaweka au ni kihere here tu ??? Inakera unafungua uzi ukijua kuna mapointi kumbe ni picha ya gazeti lililopo kwa mluguru hapo nje!