Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,950
Inasikitisha sana. Mbususu zinachakatwa sana nje ya ndoa hasahasa kwenye mtaa wangu. Nina mpango kusaidiana na jeshi la sungu sungu ili kuwakabili wanaume wenye tabia za kuchakata wake za watu ilihali wanajua wazi kuwa huyu ni mke wa mtu. Kwenye mtaa wangu si tu vijana, yaani hadi wazee wanaruka na wanawake za watu
Nimeandika huu uzi kwa uchungu kwa kuwa hapa makazi mapya nilipata kienyeji mmoja mzuri sana wa kuwa naye kwenye mahusiano kwa lengo la kusaidizana mambo fulani, cha ajabu wakati nikiwa katika harakati za kutafuna tunda, katokea mzee mmoja from somewhere else, karusha ndoano kwenye mshipi wenye noti noti, kanasa chombo, kaichakata mbususu.
Kilichonistaajabisha zaidi ni baada ya kufuatilia kwa kina nione ni namna gani napambana na hili baba, ndo kuja kuhamaki kumbe binti ni mke wa mtu, kufuatilia mumewe, ni mtu anayepiga kazi nzito sana kwa lengo la kulisha familia yake. Nimejifikiria kama ningekuwa ni mimi ndo nafanyiwa hivyo ningejihisije? Mpaka sasa nishapeleka barua serikali za mitaa ili niwe miongoni mwa chaguzi ama teuzi za awamu inayofuata ili nipambane na hili janga
Hivi ninyi mnaooa, mnajua wazi kuwa kwenye ndoa kuna kuchakatiwa mbususu? Au nikae kimya kwa kuwa hayanihusu!