Ndoa za fasheni ni janga la kitaifa na kijamii tuzikatae kwa nguvu zote

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
6,300
13,278
Hello ,

Ndoa nyingi hasa hizi za fasheni zimekuwa chanzo Cha umaskiini, ufukara, watoto fedhuli wa mitaani, ndoa hazina maadili, ndoa ni dhuluma yq nafsi za watu wanaochapiwa wanakesha bar, wenye magomvi yq kuchapiwa na kushare hali ni mbaya.

Tuzipinge ndoa hazina afya kwa dira ya taifa.


Wadiz
 
Back
Top Bottom