Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 2,371
- 4,305
Uko wapi kwani......Shallom!
Salamu baada ya salamu niende moja kwa moja kwenye Mada. Ndoa ya Mke mmoja ni Ukatiri wa kijinsia kwa Mwanaume. Kwanini? Kwa sababu Mwanaume hakuumbwa awe na Mke mmoja.
Jana kuna Mama mmoja nilikua najadiliana nae yeye ni single mom, akawa anasema kwamba yupo tayari japo yeye ni Mkristu Ila km akibahatika kuolewa basi mumewe akimuoa atamruhusu kwa moyo mmoja awe na Mwanamke mwingine wa pili yaan wawe wawili anaemsaidia kulinda Ndoa kwa sharti moja tu huyu Mwanaume amtambulishe huyo Mwanamke mwingine kwa Mwanamke wake wa Ndoa na yeye yupo tayari kukubari Ila tu asiwe na wanawake wengine zaidi ya hao wawili.
Akafika mbali na kuzisifia sana Ndoa za kiislamu. Kwamba Waislamu wanaanza wake wawili mpaka wanne. Hukuti Mwanaume wa kiislamu akinyanyaswa
Haya nyinyi hapa Jamvini mnasemaje kweli Ndoa hizi za mke mmoja zinamkatiri sana Mwanaume kijinsia? Yaan Mwanaume inatakiwa kimaumbile amiriki walau wanawake wawili iila sio Mwanamke mmoja, nyinyi mnasemaje?
Nimeishia hapo.Kwa sababu Mwanaume hakuumbwa awe na Mke mmoja.
Unaisingizia CCM bure.Nyege binafsi hazimilikiwi na chama chochote kiwe cha siasa au cha kuweka na kukopa.Kwa akili hizi ulizonazo.
CCM MITANOO TENA.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Niko njiani nakuja, nikukute wapi?😄😆Uko wapi kwani......
Unatuletea ushauri wa singo maza hapa? Angekua na busara angezalishwa kabla ya ndoa?Shallom!
Salamu baada ya salamu niende moja kwa moja kwenye Mada. Ndoa ya Mke mmoja ni Ukatiri wa kijinsia kwa Mwanaume. Kwanini? Kwa sababu Mwanaume hakuumbwa awe na Mke mmoja.
Jana kuna Mama mmoja nilikua najadiliana nae yeye ni single mom, akawa anasema kwamba yupo tayari japo yeye ni Mkristu Ila km akibahatika kuolewa basi mumewe akimuoa atamruhusu kwa moyo mmoja awe na Mwanamke mwingine wa pili yaan wawe wawili anaemsaidia kulinda Ndoa kwa sharti moja tu huyu Mwanaume amtambulishe huyo Mwanamke mwingine kwa Mwanamke wake wa Ndoa na yeye yupo tayari kukubari Ila tu asiwe na wanawake wengine zaidi ya hao wawili.
Akafika mbali na kuzisifia sana Ndoa za kiislamu. Kwamba Waislamu wanaanza wake wawili mpaka wanne. Hukuti Mwanaume wa kiislamu akinyanyaswa
Haya nyinyi hapa Jamvini mnasemaje kweli Ndoa hizi za mke mmoja zinamkatiri sana Mwanaume kijinsia? Yaan Mwanaume inatakiwa kimaumbile amiriki walau wanawake wawili iila sio Mwanamke mmoja, nyinyi mnasemaje?
Ungepiga simu kwanza nimetoka 🤣🤣🤣Niko njiani nakuja, nikukute wapi?😄😆
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ungepiga simu kwanza nimetoka 🤣🤣🤣
mwanaume mmoja ameumbiwa mwanamke mmojaShallom!
Salamu baada ya salamu niende moja kwa moja kwenye Mada. Ndoa ya Mke mmoja ni Ukatiri wa kijinsia kwa Mwanaume. Kwanini? Kwa sababu Mwanaume hakuumbwa awe na Mke mmoja.
Jana kuna Mama mmoja nilikua najadiliana nae yeye ni single mom, akawa anasema kwamba yupo tayari japo yeye ni Mkristu Ila km akibahatika kuolewa basi mumewe akimuoa atamruhusu kwa moyo mmoja awe na Mwanamke mwingine wa pili yaan wawe wawili anaemsaidia kulinda Ndoa kwa sharti moja tu huyu Mwanaume amtambulishe huyo Mwanamke mwingine kwa Mwanamke wake wa Ndoa na yeye yupo tayari kukubari Ila tu asiwe na wanawake wengine zaidi ya hao wawili.
Akafika mbali na kuzisifia sana Ndoa za kiislamu. Kwamba Waislamu wanaanza wake wawili mpaka wanne. Hukuti Mwanaume wa kiislamu akinyanyaswa
Haya nyinyi hapa Jamvini mnasemaje kweli Ndoa hizi za mke mmoja zinamkatiri sana Mwanaume kijinsia? Yaan Mwanaume inatakiwa kimaumbile amiriki walau wanawake wawili iila sio Mwanamke mmoja, nyinyi mnasemaje?
Sasa huyo Mama alifoka sana yaan anakwambia hakuna Mwanaume mwenye Mwanamke mmoja huyo Mwanaume hayupomwanaume mmoja ameumbiwa mwanamke mmoja
ndo maana idadi ya wanawake duniani na idadi ya wanaume ni almost sawa miaka yote
Mkuu sio ushauri ni mapendekezo yake maana hakuna Mwanaume mwenye Mwanamke mmoja ukianza na Mimi nna msululu Ester, Mage, Jessie, Recho, Celina, Nancy, Mwamvita, Tausi, Jesca, Matilda, etc hao ni baadhi tu na huyo ananipa mapendekezo alikua anajumuishwa humo humo kwenye long listUnatuletea ushauri wa singo maza hapa? Angekua na busara angezalishwa kabla ya ndoa?
Ukitaka kufeli katika maisha, msikilize MTU aliyefeli Kama singo maza.
= ukatili.Shallom!