Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,123
- 5,543
Shallom!
Salamu baada ya salamu niende moja kwa moja kwenye Mada. Ndoa ya Mke mmoja ni Ukatiri wa kijinsia kwa Mwanaume. Kwanini? Kwa sababu Mwanaume hakuumbwa awe na Mke mmoja.
Jana kuna Mama mmoja nilikua najadiliana nae yeye ni single mom, akawa anasema kwamba yupo tayari japo yeye ni Mkristu Ila km akibahatika kuolewa basi mumewe akimuoa atamruhusu kwa moyo mmoja awe na Mwanamke mwingine wa pili yaan wawe wawili anaemsaidia kulinda Ndoa kwa sharti moja tu huyu Mwanaume amtambulishe huyo Mwanamke mwingine kwa Mwanamke wake wa Ndoa na yeye yupo tayari kukubari Ila tu asiwe na wanawake wengine zaidi ya hao wawili.
Akafika mbali na kuzisifia sana Ndoa za kiislamu. Kwamba Waislamu wanaanza wake wawili mpaka wanne. Hukuti Mwanaume wa kiislamu akinyanyaswa
Haya nyinyi hapa Jamvini mnasemaje kweli Ndoa hizi za mke mmoja zinamkatiri sana Mwanaume kijinsia? Yaan Mwanaume inatakiwa kimaumbile amiriki walau wanawake wawili iila sio Mwanamke mmoja, nyinyi mnasemaje?