Ndoa siyo muhimu

Mahusiano mengi yanavunjika siku hizi kwa ajili ya watu Wenye mawazo Kama haya na cha ajabu wanaongezeka kila uchao
 
mkuu nini kimekupata ???
NI
 
Ndoa huwa tamu na mapenzi tele wakati mume akiwa na pesa kuliko mwanamke na kinyume chake hakuna mapenzi
 
Ndoa ni agizo la Mungu so ni muhimu, dat y kukutana na mwanamke/mwanaume kimapenz bila NDOA ni kuvunja amri ya MUNGU yaan UNAZINI.Itakuwa si muhimu kama utaeza kuish bila kujiingiz kwe mahucan ya kimapenz.Kwa wew ishi tu peke ako mana hata ukioa/kuolewa hutotimiza kusud la ndoa
 
Mtakuja kuniamini tu mawaziri wakuu wengi ulaya hawajaoa ni kwa sababu wana pesa
 
Yategemea na imani yako...I believe in holy matrimony na kuwepo na family yenye heshima. kwahiyo ndoa muhimu na sio uzinifu kila kona na kila mtoto na mama au babake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…