kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,756
- 4,804
Ukioa ndo utajua kuwa kuoa sio kuzuri.
Pia ukiwa single utaona kuoa Kuna faida ila maisha ya ndoa ni magumu saana asikudanganye mtu ukipata bahati ya kuwa single usichezee.
Mungu sio mjinga wakusema tuishi na wanawake kwa akili. Wenzetu hawa ni watu hatari saana anaweza kukunyima unyumba lakini uko nje Kuna mtu anampa kwa wakati wowote tu anao utaka akifika kwako kama mume wake sababu zinakuwa nyingi.
Kuna wakati anaweza kuwa hakusikilizi kabisa wewe kama mume wake lakini Kuna boya fulani uko nje anamsikiliza vizuri kabisa na wakati mwingine linampa masharti kama mume wake.
Mwanamke sio kiumbe dhaifu kama tunavyoambia na vitabu vyetu vya dini anaweza kuwa dhaifu kwenye mambo mengine lakini sio kwenye akili.
Tutafute pesa vijana wenzangu
Tayari kwangu mimi nimejiona acha nilie 😭😭😭😭