Ndoa ngumu jamani

zegamba180

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
820
541
Mume na mke wapo kwenye ndoa ambayo hakuna mawasiliano ndani. Kila mtu anafanya lake. Lakini wenyewe bado wanajiita mke na mume wakiwa nje.
Siku moja mume alienda kanisa mke hakwenda. Aliporudi akamkuta mkewe anaangalia kipind Fulani kwenye TV.

Akamnyakua akimbeba juu juu mkewe, akianza kuzunguka nae sebule jikon.
Mke akashangaa sana hilo tukio, akamuacha mumewe afanye atakalo. Baada ya dk kadhaa zoezi likakoma.

Mke: mume wangu leo maajabu, umepatwa na nini hadi ukanibeba?!!!!
Mume: Padre katuambia tukirudi majumbani kwetu tunyanyue misalaba yetu juu ili MUNGU atusaidie....nami nimenyanyua msalaba wangu juu!

Baada ya kauli hiyo ya mume sikujua kilichoendelea
 
kuna yule wa geita raha,mwingine anafurahia kupandishwa cheo kua senior member.mm pia c mwenyej kihivyo lkn nlijipa mda sana kuingia humu,nlisoma mchezo ndo nkatanguliza mguu mmoja.hadithi nzr ahsnt
 
Maskini jf ishaingiliwa na mamluki... Niende wapi sasa!!... Nachoka kabisa... Hovyooo kabisa.
 
sioni kosa lake na kwa kuzingatia sera ya Jamii Forum naona yuko sahihi na ndio maana uzi wake mods wameuweka humu..kila mtu anayo haki humu ya kuongea kama mlivyofanya nyie..sio kila kitu humu kitakupendeza..
 
Mods mtumbueni huyo jamaa hata sis tuna vitu vingi vya kipuuz kama hivyo lakin humu sio mahala pake kwa kupost
 
Mods mtumbueni huyo jamaa hata sis tuna vitu vingi vya kipuuz kama hivyo lakin humu sio mahala pake kwa kupost
Usisome kwa juu juu. Soma ujue nimelenga nini? Kuna watu wanapost vitu vya ajabu ajabu. Ubaya wa hiyo post weka mezani Mstari kwa mstari! Ubaya na uzuri wa jambo unaupima kwa kigezo kipi? Haramu kwako halali kwa mwenzako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…