Ndoa na talaka imekuwa biashara kubwa kwa wanawake

Mike Moe

JF-Expert Member
Nov 3, 2019
263
278
Ndoa na talaka imekuwa biashara kubwa kwa wanawake nchini marekani, haimaanishi ukiolewa na tajiri ndio uondoke na mali zake punde mkiachana nataka nikomeshe tabia hii kwamba mkiachana kuna kiasi tu itabidi upewe na hakuna sababu ya kusema ni kidogo kwakua hukuhangaikia, kama unahisi huwezi kuwalea watoto basi niachie mimi niwaleee.
-Donald Trump, Rais wa Marekani.
 
Dawa yao ni kuwa kama Hakim. Mali zako zote anamiliki mama yako, siku akikuach anakuta hata viatu ulivyo vaa vinamilikiwa na mama yako.
 
Kati ya wanaume waliokombwa mali duniani kupitia talaka hakuna anayemfikia Jeff Bezos. Yule mwanamke aliondoka billionaire sio mchezo.

Kwenye uapisho wa Trump alikuwa na mwingine (Sanchez); miaka mitatu ijayo sijui naye ataondoka na billions ngapi! Wanampiga kweli kweli.
 
mke wa jeff
mke wa bill getts

walistahili kuna wanawake unaona kabisa walistahili 7bu hao niliowataja walianza na washkaji wakiwa hawajiwezi wakapambana pamoja ndio wakafika hapo walipofika so ilikuwa haki yao kabisa halali

sasa mfano ona SAMATA alivyombana then aoe mzungu kisha waachane then atake mali nyingi kisa watoto na wakati hata hukuziangaikia huo ni uwizi na ndio jambo alozungumzia TRUMP
 
Back
Top Bottom