Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,655
- 119,271
Wanabodi,
Huu ni uzi elimishi kuhusu aina tatu za kuomba msamaha, kama zilivyo aina tatu za ndoa.
Lengo la kutoa elimu hii ni kulinda heshima ya fani ya watu ambayo imetakwa kudhalilishwa kwa kusingiziwa kuwa ile video imefanyiwa maujanja kwa kuchakachuliwa ili kumchafua mtu, kitu ambacho sii kweli!.
Ndoa Halali, Batili na Batilifu.
Ndoa ni mahusiano ya mapenzi kati ya watu wa jinsia tofauti ambayo huingiwa kwa hiyari na ridhaa, na kufungwa kwa mkataba wa ndoa au cheti cha ndoa, kwa jina maarufu la shahada ya ndoa.
Ndoa baada ya kufungwa kimila, kidini au kiserikali, na kukabidhiwa vyeti vyenu vya ndoa pale kanisani, msikitini , kwa DC au kwa kamishina yoyote wa ndoa, ili ndoa hiyo iwe ni ndoa halali, lazima ikamilishwe kwa performance ya kitu kinachoitwa "consummation", yaani ili ndoa iwe halali ni lazima ndoa hiyo iwe consumated.
Ikitokea kwa sababu yoyote, ndoa ile baada ya kufungwa, lakini ikashindwa kuwa performed, or consummated, ndoa ile inakuwa ni ndoa batili, yaani void marriage, hii void marriage ni ndoa cheti tuu lakini kiuhalisia ni kunakuwa ni hakuna ndoa iliyowahi kuwepo, yaani "void ab initio". Kinachotakiwa kufanywa kwenye ndoa ya aina hii, ni kuripotiwa kunakohusika na ndoa hii kuvunjwa.
Ikitokea kwa sababu yoyote, ndoa ile baada ya kufungwa, lakini ikashindwa kuwa performed, au consummated, kwa kipindi fulani, kwa panic attack, ugonjwa, njia nyembamba, etc, then ndoa ile inakuwa ni ndoa batilifu, yaani voidable marriage, hii voidable marriage sio ndoa halali, na sio ndoa batili bali batifufu. Ule ubatilifu utakapo ondolewa na performance kufanyika kwa kui consumate, inageuka ndoa halali, ikishindikana kuwa consumated then inageuka ndoa batili.
Je, Wajua Kuna Msamaha wa Kweli, Msamaha Batili na Msamaha Batilifu?
Sasa kama ilivyo kwenye ndoa, si wengi wanaojua kuwa kwenye msamaha, pia kuna msamaha wa kweli, msamaha batili na msamaha batilifu.
Msamaha wa Halali wa kweli ni pale mtu unakosa, kwanza kwa kukubali kosa lako na kulijutia ukiwa na nia ya dhati ya kuomba msamaha, hivyo utaomba msamaha wa dhati while you mean it, na mwisho utakuwa tayari ku take responsibility kwa kuwajibika kwa kubeba the consequences ya matokeo ya makosa yako, kwa kupisha ofisi ya umma kupunguza the embarrassment caused.
Msamaha batili ni pale mtu umekosa, kosa ambalo umelifanya kwa makusudi mazima, kwa kudhamiria, mfano mzuri ni kosa la mwanandoa kutoka nje ya ndoa. Ikitokea umefumaniwa, ni kawaida mkosaji kuomba msamaha ili tuu kuinusuru ndoa, kwa paying just lip services, you don't mean it na akiisha samehewa, baada ya muda kupita, atarudia tena, na ikitokea katika hayo mahusiano ya nje ya ndoa, akazaliwa mtoto, hata ukiomba msamaha vipi, hilo tayari ni doa, hivyo msamaha wako unakuwa ni msamaha batili.
Msamaha batili mwingine ni ule msamaha ambao mtu umetenda kosa, badala ya kukiri kosa, unatafuta visingizio kwa kutafuta the scapegoat to shift the blame kwa wengine kwa kudai au nilikuwa nimelewa, nimesingiziwa, au umenukuliwa vibaya au video clip imefanyiwa maujanja ya kuchakachuliwa kama ile video ya "mkono wa bouncer"
Msamaha Batilifu ni msamaha batili ambao ule ubatili unaweza kurekebishika na kuondosheka na kugeuka ni msamaha wa kweli. Ule msamaha uliombwa na Spika, ni msamaha batilifu, wenye ubatili wa kusingizia kuwa Ile video inayosaamba, imechakachuliwa kwa kuunga unga, kitu ambacho sio kweli!
Ile video ni bonafide genuine, haijafanyiwa maujanja yoyote, wala haijachakachuliwa, hivyo hayo matamshi, ni matamshi halisi ya mhusika. Kuomba msamaha kwa kutafuta kusingizio chochote, ni kuomba msamaha batili wenye ubatilifu.
Ubatili kwenye msamaha huu unaweza kuondosheka kwa Spika kuchutama tuu na kukiri ni kweli yule kwenye video ni yeye na hayo maneno aliyasema yeye mwenyewe, na kiukweli kabisa hoja za Spika ni hoja za msingi sana, tena kwa maoni yangu, Spika yuko very right, ila it is very dangerous to be right when the boss is wrong. hivyo kitu cha kufanya ni just to pay lip service kwa kukiri tuu ili kuunusuru uspika, ndio maana ametafuta kisingizio. Msamaha wa kweli has to be real. Spika must come clean to an open kuwa alighafilika, achutame, aombe msamaha wa kweli wa dhati bila visingizio na awajibike!, alivyofanya huyu mwenzake
Elimu ya Bure Kutambua Video iliyofanyiwa Maujanja.
Hii ndio hiyo video clip iliyosambaa
Mimi ni mtu wa Audio Visual, hivyo nikiangalia tuu a video clip, naweza kujua kama imefanyiwa makeke au laa. Hii video clip ni Bonafide Genuine, toka kwa a trusted source, haijafanyiwa makeke yoyote!.
Kwa msiojua mambo ya Audio/Video. Kila ukirekodi video, unapobonyeza kitufe cha record na kuanza ukirekodi, kile unachorekodi kinaitwa shots. Kila ukirekodi pose au ku stop, halafu inaendelea kurekodi unakuwa una change shots. Hivyo mtu ukiitazama video iliofanyiwa makeke, utanotice ama ina kitu kinachoitwa jump cuts, ama inawekewa cutaways ili kuziba jump cuts. Video yetu hii imepigwa kwa single shot, maana yake anayerekodi alibonyeza record mara moja tuu, hakuchange shot yoyote wala kuingiza cutaways zozote, the video is smooth, simless , hivyo alichozungumza mzungumzaji hayo aliyozungumza ni maneno yake mwenyewe halisi. Hajalishwa maneno yoyote wala hii video, haijafanyiwa makeke yoyote!.
Hivyo ni kwa muktadha huu, msamaha uliiombwa kwa video hii kusingiziwa imefanyiwa maujanja, sio kweli, hii video ni bonafide genuine, hivyo inaufanya huu msamaha ulioombwa kuwa ni msamaha batilifu, Spika has just has to come clean kwa kuuondoa ubatili huu, na msamaha wake utakuwa ni msamaha wa kweli, labda libaki suala la awajibike au asiwajibike, hilo sasa ni la mtu na dhamira yake, ila naamini, baadha ya hiki kwa mtu bold na mkweli kama huyu, baada ya kuusema ule ukweli wa kwenye video, kisha kuja kuukana kwa kusingizia video imechakachuliwa, hivyo mwamba huyu kuchutama na kuwa mdogo kama piriton, huku akiwasamehe waliomchakachua, naamini sasa Spika atakuwa amebadilika, he is now a better man than he was before, yale mambo ya kuitana bungeni na kuhojiana kwenye kamati kwa sisi waandishi, kuhusiana na mambo madogo madogo ya kwenye media, sasa yatakuwa yamekisha.
Spika ni jasiri kwelikweli, arekebisa huo msamaha kuuondoa tuu huo ubatili, asamehewe, kazi iendelee.
Paskali