Ndizi iliyouzwa kwa gharama kubwa

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
595
1,173
π—‘π——π—œπ—­π—œ π—œπ—Ÿπ—œπ—¬π—’π—¨π—­π—ͺ𝗔 π—žπ—ͺ𝗔 π—šπ—›π—”π—₯𝗔𝗠𝗔 π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔

Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of CHINA IMEFU_20241122_180727_0000.png


Nadhani sote tunaijua ndizi au tunaweza sema banana kwa kiingereza kitaani kwako na kwangu uwa ndizi Moja inaweza kuuzwa kuanzia Shilingi 100, 200 au 300 sawa na dollar $0.38, ila kwa wenzetu imeuzwa kwa gharama kubwa.

Ndizi ambayo imebandikwa ukutani ilifanikiwa kununuliwa na mjasiliamali mmoja anayejihusisha na sarafu za mtandaoni Justin Sun aliwashinda wapinzani wake sita kuipata hiyo kazi ya msanii kutoka Italia.

Kwa Gharama ya dollar 6.2milioni✊

Ndizi hiyo iliyobanwa na utepe imeingia kwenye kumbukumbu ya ndizi iliyowahi kununuliwa kwa gharama kubwa baada ya kwanza kununuliwa huko marekani mwaka 2019 kwenye jiji la Miami beach.

Cha kushangaza zaidi baada ya kununuliwa iliweza kuli
wa 😁.
 
Back
Top Bottom