Mbimbinho JF-Expert Member Aug 1, 2009 8,328 7,778 Jan 21, 2016 #2 Asee kumbe mchezo safi kabisa, yaani wanajali usafi hadi raha, kuanzia leo naachana na EPL
Dragoon JF-Expert Member Nov 24, 2013 7,012 8,136 Jan 21, 2016 #4 mankachara said: Macho yangu, siioni kofia Click to expand... Mimi nimeiona, lakini baada ya dakika mbili kuisha. kaza moyo, utaiona tu
mankachara said: Macho yangu, siioni kofia Click to expand... Mimi nimeiona, lakini baada ya dakika mbili kuisha. kaza moyo, utaiona tu
mankachara JF-Expert Member Sep 27, 2013 6,147 3,464 Jan 21, 2016 #5 Dragoon said: Mimi nimeiona, lakini baada ya dakika mbili kuisha. kaza moyo, utaiona tu Click to expand... Nimeangalia kama daika 5, nahisi badiliko la mwilli lakini sioni kofia
Dragoon said: Mimi nimeiona, lakini baada ya dakika mbili kuisha. kaza moyo, utaiona tu Click to expand... Nimeangalia kama daika 5, nahisi badiliko la mwilli lakini sioni kofia
Dragoon JF-Expert Member Nov 24, 2013 7,012 8,136 Jan 21, 2016 #6 mankachara said: Nimeangalia kama daika 5, nahisi badiliko la mwilli lakini sioni kofia Click to expand... Komaa hivyo hivyo mkuu, kofia utaiona tu Tena hii Post watu bado wanatafuta kofia iko wapi, ndo maana comments si nyingi
mankachara said: Nimeangalia kama daika 5, nahisi badiliko la mwilli lakini sioni kofia Click to expand... Komaa hivyo hivyo mkuu, kofia utaiona tu Tena hii Post watu bado wanatafuta kofia iko wapi, ndo maana comments si nyingi
Captain Phillip JF-Expert Member Nov 5, 2010 894 538 Jan 21, 2016 #7 Hata mimi siioni kofia aisee naona Twin Towers tu
Capitano JF-Expert Member Apr 7, 2011 1,959 1,633 Jan 21, 2016 #8 Captain Phillip said: Hata mimi siioni kofia aisee naona Twin Towers tu Click to expand... Twin towers duuuh
Captain Phillip said: Hata mimi siioni kofia aisee naona Twin Towers tu Click to expand... Twin towers duuuh