Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 126,227
- 240,557
Hebu jionee mwenyewe
Mdahalo nao aukimbia
Mdahalo nao aukimbia
Huyu hamnazo
Hangaya anamuona ana akili kweli yaani !H
Huyu hamnazo
Unazo wewe tu,Hangaya anamuona ana akili kweli yaani !
Kwamba Makonda na ccm ni wafuata Sheria sana?! Ama mnadhani hatujui ni kwa kiwango gani Sheria Zina double standard kwenye matakwa ya CCM?CHADEMA ya sasa haina weledi wa kuweza kufanya mdahalo.... mdahalo gani wenye masharti ya kufuta muswada wa sheria? CHADEMA kiukweli inabidi mfanye kazi kubwa sana kuondoa hii damage iliyosababishwa na hoja ya kuongeza wabunge. Utetezi wa Mnyika ni mwepesi sana.
hata na hivyo,
Tulia we muumini wa chama la majizi. Msimamo wa cdm uko wazi, hawataki midahalo na muhalifu. Kinachotakiwa ni kutoa hiyo miswaada ya kihuni, na mseme ni lini mchakato wa katiba mpya utaanza. Mijadala ya kipuuzi na muhalifu haina maana.Nimekwisha waambia Chadema kwamba Mpina mmoja ni sawa na viongozi watatu waandamizi Chadema.
Hamna sera bali kuvizia matukio na kuendekeza ulafi wa madaraka na chuki kwa visasi.
Kamwambie Sasa Joyce wowowo asipoteze muda wake, maana watu wanataka mambo serious sio kuchambana na huyo muhalifu.hata na hivyo,
kufanya mdahalo na mapanyarodi na manyumbu ni mzaha wa kiwango cha standard gauge 🐒
Kwani sharti la katiba mpya ndilo likimbize mtu? CCM kutotaka katiba mpya mnanufaika na Nini?Kwa hiyo ulitaka afuate masharti yenu yale ya kijinga na kihayawani ambayo mliyaweka mkijuwa hayatekelezeki? Kila mtu anafahamu ya kuwa mlifanya vile kwa uoga...
kamweleze tu puppet bila kumficha chochote, kwamba jamaa wanaoongoza nchi, wameona ni ushamba kujadiliana na mapanyarodi na manyumbu 🐒Kamwambie Sasa Joyce wowowo asipoteze muda wake, maana watu wanataka mambo serious sio kuchambana na huyo muhalifu.
Lijishoga hili bwabwa
Muhimu wafanye ili huo wizi uwekwe bayana.Hakuna haja kufanya mdahalo na Mwizi.