Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,026
- 2,266
Huko Niamey leo hii ndege ya kijeshi ya Urusi ikiwa na mamia ya wapiganaji wa Wagner wanaodaiwa kuchukuliwa kutoka Syria wametia timu Niger.
Wagner imewaajiri maelfu ya maveterani wa vita kutoka Syria, ambao walikuwa wanapigana kulinda serikali ya Syria dhidi ya ISIS, Al-Qaeda na FSA. Maveteran hawa wana uzoefu wa ajabu wa vita dhidi ya magaidi. Syria ni moja wapo ya sehemu za kwanza ambapo Wagner alithibitisha ubora wao wa mapigano bila juhudi zao, rais wa Syria angepata kama kilicho mpata Gaddafi.
Shukrani kwa RUSSIA na jeshi lake pamoja na Wagner PMC.
Wagner walipowasili Niger, inaripotiwa kwamba walimwambia Rais mpya wa Niger asiwe na wasiwasi hata chembe kuhusu jeshi lolote la kigeni katika ardhi yake na aliuhakikishia uongozi kwamba Wagner atakabiliana na Wamarekani pamoja na ufarasa uso kwa uso, ikiwa kama watathubutu kujihusisha kwenye mzozo na ECOWAS.
Marekani imedumisha Ngome yake nchini Niger ana wanajeshi takriban 1000, huku Ufaransa nayo inahifadhi zaidi ya wanajeshi 1,200 nchini Niger.
Kwa sasa, kuna takriban ya wapiganaji 5,000 wa kujitolea wanaofadhiliwa na Wagner wapo AFRIKA katika inchi za Mali, Libya, Sudan, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Msumbiji na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Kama ilivyoripotiwa hapo awali, Wagner watafanya ulinzi wa ikulu ya rais huko Niamey na miundombinu ya nchi ambayo inaweza kushambuliwa na hatua ya kijeshi ya ECOWAS inayoongozwa na Nigeria.
Ambayo Ina askari takribani 230,000 huku Nigeria inatarajiwa kuchangia wanajeshi wengi zaidi katika operesheni hiyo kuliko nchi nyingine yoyote.
Hata hivyo nchi mbili zenye majeshi yenye nguvu zaidi barani AFRIKA, Misri na Algeria zimeonya dhidi ya uingiliaji wowote wa kijeshi nchini Niger, na kuapa kuwa hazitasimama bila kufanya lolote na kuruhusu hilo kutokea.
Inasemekana kwamba morali ya wanajeshi wa Niger iko juu sana hivi sasa, ikizingatiwa kwamba karibu wakazi wote wa Niger wanaunga mkono jeshi na maelfu wameripotiwa kujiandikisha kupigana na jeshi la kujitolea la Urusi, Wagner PMC, katika ulinzi. wa nchi yao.