gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 4,933
- 7,390
Ndege vita/jet na drone zilianguka Lebanon, israel ikijitetea kuwa ni tatizo la kiufundi
Wakati huohuo helicopter ilianguka huko gaza na kuua askari wawili wa israel,utetezi wao ni ule ule, tatizo la kiufundi
www.jpost.com
Wakati huohuo helicopter ilianguka huko gaza na kuua askari wawili wa israel,utetezi wao ni ule ule, tatizo la kiufundi
Israeli Air Force jet crashes in Lebanon due to technical malfunction
The IDF clarified that there is no concern over security issues nor over an information leak.