Jackson94
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 480
- 526
Chanzo cha picha,APNdege isiyo na rubani ilirushwa kuelekea nyumbani kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika mji wa Caesarea kaskazini mwa Israel siku ya Jumamosi, msemaji wake anasema.
Netanyahu hakuwa katika jengo hilo na hakuna mtu aliyejeruhiwa, msemaji huyo anaongeza.
Jeshi la Israel hapo awali lilisema ndege tatu zisizo na rubani zilirushwa kuelekea mji huo wa pwani mapema Jumamosi. Mmoja aligonga jengo,huku zingine mbili zikizuiliwa, liliongeza.
Soma pia:
Netanyahu aionya Lebanon na ‘uharibifu kama wa Gaza'
Je, Israel inataka Mashariki ya Kati ya aina gani?
Netanyahu: Tunajiandaa, yeyote atakayetudhuru, tutampiga
© BBC Swahili