Ndege ikiwa angani, rubani akasinzia usalama unakuwaje?

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Sep 19, 2023
443
1,084
Nimeona andiko fulani ila nataka wataalam mnithibitishie inapotokea marubani kusinzia vipi kuhusu usalama wa ndege na abiria Kwa ujumla?
FB_IMG_1722442612492.jpg
 
Nimeona andiko fulani ila nataka wataalam mnithibitishie inapotokea marubani kusinzia vipi kuhusu usalama wa ndege na abiria Kwa ujumla?View attachment 3057872
Rubani wa ndege ya Pakistan airlines PIA alikutwa akilala fofofo huku akikoroma business class baada ya kumuachia rubani msaidizi aingoze ndege. Ndege iyo ilikuwa inatoka Islamabad kwenda London. Abiria mmoja aliyekuwa business class ambayo ilikuwa na abiria wachache kumpiga picha.
Tukio hilo lilitokea 2018.

20240731_192742.jpg
 
Mmmmh, jibu ni autopilot hasa kwenye safari ndefu nonstop. Pilot ana program njia nzima akizingatia mawingu na hali ya hewa. Halafu naye analala. Lakini nadhani hulala kwa zamu, it is too ghastly to contemplate ikitokea.
 
Back
Top Bottom