chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Ndalichako nilikuwa nakupenda sana , sasa basi , sikutaki tena unaanza kwenda kule kule kwa mambo ya IMLA- kwaheria Mh.Ndalichako ni moja wa mawaziri bora katika serikali hii
Tulia wwe...#hapakazituNdalichako nilikuwa nakupenda sana , sasa basi , sikutaki tena unaanza kwenda kule kule kwa mambo ya IMLA- kwaheria Mh.
nadhani hilo ni wazo la Magufuli, sio lakeNdalichako ni moja wa mawaziri bora katika serikali hii
kwani nan aliianzishaTulia wwe...#hapakazitu
utawala wa Kikwete nadhanikwani nan aliianzisha
Mwenge wa Uhuru ni michango ya Wazalendo haihusiki kwny Bajeti za serikali. Kama wewe huipendi usichangie sie tunaoutaka acha tuendelee kuchangiaHawa kazi yao kuzifuta sherehe tu. Hivi mwenge wa uhuru wameshindwa kabisa kuutupa pale makumbusho? Huu ndo unateketeza pesa za wananchi kwa kiasi kikubwa kuliko hata hizo sherehe.