iamwangdamin
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 814
- 1,637
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, amepokelewa na maelfu ya Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Wananchi wa Mtwara mjini, wakati alipowasili akitokea Masasi, kuzungumza nao kupitia mkutano wa hadhara, katika Uwanja vya Sabasaba.
Katika ziara hiyo ya Mkoa wa Mtwara, Balozi Dkt. Nchimbi ameambatana na Katibu wa NEC-Organaizesheni Ndg. Issa Ussi Haji (Gavu), Katibu wa NEC-Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Amosi Makalla, pamoja na Katibu wa NEC- Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndg. Rabia Abdallah Hamid.
#VitendoVinaSauti
#TunaendeleaNaMama
#KaziIendelee
iamwangdamin
CCM OYEEE , CCM MBELE KWA MBELE