Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 2,700
- 4,616
Kabisa kwa uchumi wa mwananchi mmoja mmoja per Capital ndo Ina maana na china anazidiwa per capital na mataifa mengi Sana anaweza kushika nafasi hata kumi na zaidiPer Capital Income ndiyo habari za mjini, hizi GDP hazina msaada sana kwa wananchi mmojammoja.
Japan ina watu wachache sana, wanawezaje kuzishinda nchi zenye wengi kama China na India ?Biggest economies by GDP ( PPP) in 2024 (World)
1. 🇨🇳China: $32.89 Trillion
2.🇺🇲USA: $26.94T
3. 🇮🇳India: $13.11 T
4.🇯🇵Japan: $6.46T
5.🇩🇪Germany: $5.55T
6.🇷🇺 Russia: $5.05T
7. 🇮🇩Indonesia: $4.3T
8.🇧🇷Brazil: $4.01T
9.🇬🇧UK: $3.87T
10.🇫🇷 France: 3.86T
11.🇹🇷 Turkey: 3.80 T
12.🇲🇽 Mexico: 3.27 T
13.🇮🇹 Italy: 3.19 T
14.🇰🇷 South Korea: 2.92 T
15.🇪🇸 Spain: 2.41 T
16.🇨🇦 Canada: 2.38 trillion
17. 🇸🇦 Saudi Arabia: 2.25 trillion
18.🇪🇬 Egypt: 1.81 trillion
19.🇮🇷 Iran: 1.73 trillion
20.🇦🇺 Australia: 1.72 trillion
21.🇵🇱 Poland: 1.71 trillion
22.🇹🇼 Taiwan: 1.69 trillion
23.🇹🇭 Thailand: 1.58 trillion
24.🇵🇰 Pakistan: 1.57 trillion
25.🇧🇩 Bangladesh: 1.48 trillion
26.🇻🇳 Vietnam: 1.43 trillion
27.🇳🇬 Nigeria: 1.37 trillion
28.🇳🇱 Netherlands: 1.30 trillion
29.🇵🇭 Philippines: 1.28 trillion
30.🇦🇷 Argentina: 1.24 T
Source: Biggest economies by GDP ( PPP) in 2024 (World)
Kwa lugha rahisi,tofauti ya GDP na GNP ni ipi mkuu ?Kama ni za kweli , Marekani kuja kumpata mchina kwenye Gdp ni ngumu
INGAwa per capital income Marekani ataendelea kuongoza kwa muda mrefu
Japan ina watu wachache sana, wanawezaje kuzishinda nchi zenye wengi kama China na India ?
Kipangaspecial kwenye hii list, japan kaizidi wapi china?Biggest economies by GDP ( PPP) in 2024 (World)
1. 🇨🇳China: $32.89 Trillion
2.🇺🇲USA: $26.94T
3. 🇮🇳India: $13.11 T
4.🇯🇵Japan: $6.46T
5.🇩🇪Germany: $5.55T
6.🇷🇺 Russia: $5.05T
7. 🇮🇩Indonesia: $4.3T
8.🇧🇷Brazil: $4.01T
9.🇬🇧UK: $3.87T
10.🇫🇷 France: 3.86T
11.🇹🇷 Turkey: 3.80 T
12.🇲🇽 Mexico: 3.27 T
13.🇮🇹 Italy: 3.19 T
14.🇰🇷 South Korea: 2.92 T
15.🇪🇸 Spain: 2.41 T
16.🇨🇦 Canada: 2.38 trillion
17. 🇸🇦 Saudi Arabia: 2.25 trillion
18.🇪🇬 Egypt: 1.81 trillion
19.🇮🇷 Iran: 1.73 trillion
20.🇦🇺 Australia: 1.72 trillion
21.🇵🇱 Poland: 1.71 trillion
22.🇹🇼 Taiwan: 1.69 trillion
23.🇹🇭 Thailand: 1.58 trillion
24.🇵🇰 Pakistan: 1.57 trillion
25.🇧🇩 Bangladesh: 1.48 trillion
26.🇻🇳 Vietnam: 1.43 trillion
27.🇳🇬 Nigeria: 1.37 trillion
28.🇳🇱 Netherlands: 1.30 trillion
29.🇵🇭 Philippines: 1.28 trillion
30.🇦🇷 Argentina: 1.24 T
Source: Biggest economies by GDP ( PPP) in 2024 (World)
Tukigawanya mzigo wa China kwa raia mmoja mmoja wa China na tukigawanya mzigo wa Japan kwa raia mmoja wa Japan, chini ipi watu watapiga parefu ?Kipangaspecial kwenye hii list, japan kaizidi wapi china?
Kwani GDP inakuwa calculated vipi? Au ni kitu ganiTukigawanya mzigo wa China kwa raia mmoja mmoja wa China na tukigawanya mzigo wa Japan kwa raia mmoja wa Japan, chini ipi watu watapiga parefu ?
Naomba elimuKwani GDP inakuwa calculated vipi? Au ni kitu gani
PPP Kwa china sio big deal, GDP na per Capital ameachwa mbali mno na USABiggest economies by GDP ( PPP) in 2024 (World)
1.China: $32.89 Trillion
2.USA: $26.94T
3.India: $13.11 T
4.Japan: $6.46T
5.Germany: $5.55T
6.Russia: $5.05T
7.Indonesia: $4.3T
8.Brazil: $4.01T
9.UK: $3.87T
10.France: 3.86T
11.Turkey: 3.80 T
12.Mexico: 3.27 T
13.Italy: 3.19 T
14.South Korea: 2.92 T
15.Spain: 2.41 T
16.Canada: 2.38 trillion
17.Saudi Arabia: 2.25 trillion
18.Egypt: 1.81 trillion
19.Iran: 1.73 trillion
20.Australia: 1.72 trillion
21.Poland: 1.71 trillion
22.Taiwan: 1.69 trillion
23.Thailand: 1.58 trillion
24.Pakistan: 1.57 trillion
25.Bangladesh: 1.48 trillion
26.Vietnam: 1.43 trillion
27.Nigeria: 1.37 trillion
28.Netherlands: 1.30 trillion
29.Philippines: 1.28 trillion
30.Argentina: 1.24 T
Source: Biggest economies by GDP ( PPP) in 2024 (World)
GDP ni pato la ndani pekee la Taifa litokanalo na uzalishaji wa bidhaa na huduma ndani ya kipindi flani, mfano mwaka mmoja.Kwa lugha rahisi,tofauti ya GDP na GNP ni ipi mkuu ?
Naihitaji pia mkuuNaomba elimu
Kwa tathimini ya IMF ndani ya miaka 10 ijayo Indonesia itakuwa na nguvu za kiuchumi kuizidi mpaka Ujerumani iwapo kasi yake ya ukuaji wa kiuchumi haitapungua.Duh,kumbe Indonesia sio poa,kazipita nchi kibao kubwa za ulaya