Nchi zenye uchumi imara GDP kubwa Duniani 2024

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Jul 13, 2018
2,700
4,616
Biggest economies by GDP ( PPP) in 2024 (World)

1. 🇨🇳China: $32.89 Trillion

2.🇺🇲USA: $26.94T

3. 🇮🇳India: $13.11 T

4.🇯🇵Japan: $6.46T

5.🇩🇪Germany: $5.55T

6.🇷🇺 Russia: $5.05T

7. 🇮🇩Indonesia: $4.3T

8.🇧🇷Brazil: $4.01T

9.🇬🇧UK: $3.87T

10.🇫🇷 France: 3.86T

11.🇹🇷 Turkey: 3.80 T

12.🇲🇽 Mexico: 3.27 T

13.🇮🇹 Italy: 3.19 T

14.🇰🇷 South Korea: 2.92 T

15.🇪🇸 Spain: 2.41 T

16.🇨🇦 Canada: 2.38 trillion

17. 🇸🇦 Saudi Arabia: 2.25 trillion

18.🇪🇬 Egypt: 1.81 trillion

19.🇮🇷 Iran: 1.73 trillion

20.🇦🇺 Australia: 1.72 trillion

21.🇵🇱 Poland: 1.71 trillion

22.🇹🇼 Taiwan: 1.69 trillion

23.🇹🇭 Thailand: 1.58 trillion

24.🇵🇰 Pakistan: 1.57 trillion

25.🇧🇩 Bangladesh: 1.48 trillion

26.🇻🇳 Vietnam: 1.43 trillion

27.🇳🇬 Nigeria: 1.37 trillion

28.🇳🇱 Netherlands: 1.30 trillion

29.🇵🇭 Philippines: 1.28 trillion

30.🇦🇷 Argentina: 1.24 T

Source: Biggest economies by GDP ( PPP) in 2024 (World)
 
Per Capital Income ndiyo habari za mjini, hizi GDP hazina msaada sana kwa wananchi mmojammoja.
Kabisa kwa uchumi wa mwananchi mmoja mmoja per Capital ndo Ina maana na china anazidiwa per capital na mataifa mengi Sana anaweza kushika nafasi hata kumi na zaidi
Ila kitaifa Gdp ndo inapima uchumi wa Taifa husika na hii ni ishara mbaya kwa taifa la Marekani mchina anaenda kumpiga gap kubwa Sana
Kumbuka ni miaka michache tangu mchina akaue na kushika namba mbili
 
Biggest economies by GDP ( PPP) in 2024 (World)

1. 🇨🇳China: $32.89 Trillion

2.🇺🇲USA: $26.94T

3. 🇮🇳India: $13.11 T

4.🇯🇵Japan: $6.46T

5.🇩🇪Germany: $5.55T

6.🇷🇺 Russia: $5.05T

7. 🇮🇩Indonesia: $4.3T

8.🇧🇷Brazil: $4.01T

9.🇬🇧UK: $3.87T

10.🇫🇷 France: 3.86T

11.🇹🇷 Turkey: 3.80 T

12.🇲🇽 Mexico: 3.27 T

13.🇮🇹 Italy: 3.19 T

14.🇰🇷 South Korea: 2.92 T

15.🇪🇸 Spain: 2.41 T

16.🇨🇦 Canada: 2.38 trillion

17. 🇸🇦 Saudi Arabia: 2.25 trillion

18.🇪🇬 Egypt: 1.81 trillion

19.🇮🇷 Iran: 1.73 trillion

20.🇦🇺 Australia: 1.72 trillion

21.🇵🇱 Poland: 1.71 trillion

22.🇹🇼 Taiwan: 1.69 trillion

23.🇹🇭 Thailand: 1.58 trillion

24.🇵🇰 Pakistan: 1.57 trillion

25.🇧🇩 Bangladesh: 1.48 trillion

26.🇻🇳 Vietnam: 1.43 trillion

27.🇳🇬 Nigeria: 1.37 trillion

28.🇳🇱 Netherlands: 1.30 trillion

29.🇵🇭 Philippines: 1.28 trillion

30.🇦🇷 Argentina: 1.24 T

Source: Biggest economies by GDP ( PPP) in 2024 (World)
Japan ina watu wachache sana, wanawezaje kuzishinda nchi zenye wengi kama China na India ?
 
Japan ina watu wachache sana, wanawezaje kuzishinda nchi zenye wengi kama China na India ?
Biggest economies by GDP ( PPP) in 2024 (World)

1. 🇨🇳China: $32.89 Trillion

2.🇺🇲USA: $26.94T

3. 🇮🇳India: $13.11 T

4.🇯🇵Japan: $6.46T

5.🇩🇪Germany: $5.55T

6.🇷🇺 Russia: $5.05T

7. 🇮🇩Indonesia: $4.3T

8.🇧🇷Brazil: $4.01T

9.🇬🇧UK: $3.87T

10.🇫🇷 France: 3.86T

11.🇹🇷 Turkey: 3.80 T

12.🇲🇽 Mexico: 3.27 T

13.🇮🇹 Italy: 3.19 T

14.🇰🇷 South Korea: 2.92 T

15.🇪🇸 Spain: 2.41 T

16.🇨🇦 Canada: 2.38 trillion

17. 🇸🇦 Saudi Arabia: 2.25 trillion

18.🇪🇬 Egypt: 1.81 trillion

19.🇮🇷 Iran: 1.73 trillion

20.🇦🇺 Australia: 1.72 trillion

21.🇵🇱 Poland: 1.71 trillion

22.🇹🇼 Taiwan: 1.69 trillion

23.🇹🇭 Thailand: 1.58 trillion

24.🇵🇰 Pakistan: 1.57 trillion

25.🇧🇩 Bangladesh: 1.48 trillion

26.🇻🇳 Vietnam: 1.43 trillion

27.🇳🇬 Nigeria: 1.37 trillion

28.🇳🇱 Netherlands: 1.30 trillion

29.🇵🇭 Philippines: 1.28 trillion

30.🇦🇷 Argentina: 1.24 T

Source: Biggest economies by GDP ( PPP) in 2024 (World)
Kipangaspecial kwenye hii list, japan kaizidi wapi china?
 
Biggest economies by GDP ( PPP) in 2024 (World)

1. China: $32.89 Trillion

2.USA: $26.94T

3. India: $13.11 T

4.Japan: $6.46T

5.Germany: $5.55T

6. Russia: $5.05T

7. Indonesia: $4.3T

8.Brazil: $4.01T

9.UK: $3.87T

10. France: 3.86T

11. Turkey: 3.80 T

12. Mexico: 3.27 T

13. Italy: 3.19 T

14. South Korea: 2.92 T

15. Spain: 2.41 T

16. Canada: 2.38 trillion

17. Saudi Arabia: 2.25 trillion

18. Egypt: 1.81 trillion

19. Iran: 1.73 trillion

20. Australia: 1.72 trillion

21. Poland: 1.71 trillion

22. Taiwan: 1.69 trillion

23. Thailand: 1.58 trillion

24. Pakistan: 1.57 trillion

25. Bangladesh: 1.48 trillion

26. Vietnam: 1.43 trillion

27. Nigeria: 1.37 trillion

28. Netherlands: 1.30 trillion

29. Philippines: 1.28 trillion

30. Argentina: 1.24 T

Source: Biggest economies by GDP ( PPP) in 2024 (World)
PPP Kwa china sio big deal, GDP na per Capital ameachwa mbali mno na USA

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Kwa lugha rahisi,tofauti ya GDP na GNP ni ipi mkuu ?
GDP ni pato la ndani pekee la Taifa litokanalo na uzalishaji wa bidhaa na huduma ndani ya kipindi flani, mfano mwaka mmoja.

Per capita income ni wastani wa pato la mtu mmoja ndani ya Taifa.
Chukua jumla ya mapato yote ya Nchi gawanya kwa idadi ya watu wote wa Nchi husika.

GNP/GNI ni jumla ya pato lililozalishwa ndani ya Taifa pamoja na pato lililozalishwa na wageni wa nje ya Nchi hiyo.

Naomba kusahihishwa.
 
Hiki tunakisema kila siku humu ndani, China ana safari ndefu sana kufikia alipo US. Nchi za magharibu wale ni wavumbuzi na wana akili kubwa ktk uchumi na hasa ktk teknolojia.

Ukizungumzia mafanikio ya China basi unazungumzia uwekezaji, uwekezaji huo kwa sehemu kubwa saana umeletwa na watu wa magharibi yaani USA na washirika wake. Ukiondoa uwekezaji wa Ulaya na US pale China, China itakuwa na anguko kubwa sana ambalo halijawahi kutokea.

Pili, China ana export sana bidhaa zake kwa nchi za Ulaya, yaani Balance of Trade (kile unachoingiza na kile unachouza nje) kwa China ana faida kubwa mno, kwa zaidi ya 80% ya faida nzuri anaipata ktk nchi za Magharibi.

Sasa hapo unaweza jaribu kuelewa China anaweza ishi vipi bila wazungu. China sio mjinga kila akipigwa biti na wazungu kuhusu Taiwan anatulia, hata kule Ukraine ameshindwa kabisa kumsupporr swahiba wake Russi sababu anajua akipigwa pini kadhaa amedondoka ktk anguko kubwa ambalo yamkini ikamhitaji miaka zaidi ya 100 kurecover.

Tukizungumzia teknolojia duniani na services bora, hatuachi kuwataja watu wa Magharibi, Innovations zinaanzia kwao, China anakuja na copies. Sasa mtu anayekuja na copies hawezi kuwa bora kuliko yule muanzilishi. Chukua bidhaa zozote zile za China kisha weka na za Ulaya, fanya comparisons halafu uone Mchina alivyopigwa gap.

US iko mbali sana, kuja kumtoa pale sio leo wala kesho. Kizazi hiki hakitakuja kushuhudia anguko la US.
 
S.korea alikuwa ana kuja kwa kasi lakini na yeye siku hizi naona anaanza kushuka mpaka amepitwa na Uturuki.
 
Back
Top Bottom