Nchi za Uarabuni wananunua mbolea ya ng'ombe. Tuchangamkie fursa

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
2,702
7,702
India wanapiga sana pesa kwa ku export kinyesi cha ng'ombe.

Jamaa hawa especially Kuwait wanahitaji kilimo kikue kwa kasi huko na ardhi yao sio rutuba so wanahitaji mbolea ya kinyesi cha ng'ombe kwa wingi mkubwa.

India wanapiga sana pesa kwa ku export kinyesi cha ng'ombe.

Jamaa wanahitaji kilimo kikue kwa kasi huko na ardhi yao sio rutuba so wanahitaji mbolea ya kinyesi cha ng'ombe kwa wingi.
Funguka mkuu umebana codes.
 
Umasaini wanafuga ng'ombe wanajaza kinyesi mpaka kinakuwa kichuguu hawakitumii. Fursa ndiyo hiyo wakawauziea waarabu kama waswahili hawawauzii
 
Umasaini wanafuga ng'ombe wanajaza kinyesi mpaka kinakuwa kichuguu hawakitumii. Fursa ndiyo hiyo wakawauziea waarabu kama waswahili hawawauzii
nchi yenu hapo ukimani kila kitu wanapeana kiujanjajanja. fursa kama hiyo mpaka uteleze umeacha kazi ufanye kazi.
 
Cost of Transportation hicho kinyesi ni kiasi gani ? Usije ukawa unatumia shilingi mbili kusafirisha ili upate shilingi moja na nusu...
 
Ninaweza kupeleka kontena 6 Kwa wiki za mavi ya ng'ombe.
nitumie contact zao
 
Kinyesi cha mifugo kikikaushwa kinakua chepesi sana kuliko unavyodhani.
Again cost ya hayo yote ni kiasi gani na unakwenda kuuza kiasi gani Nadhani swali bado halijajibiwa..., Huwezi kuwaambia watu wachangamkie fursa bila kufanya due dilligence, By the way meli does not care about the weight rather the volume ?

Hivi unajua hata town cost ya mbolea trip moja (plus usafiri ni kiasi gani) huenda ukipata soko you are better off kuuza katika locality yako...
 
Tuna eneo kubwa sana la kulima ngano, mpunga na mahindi lakini tunalishwa na wenye eneo dogo sana huku tumekazana kufuga chawa wasio na faida kwa nchi.
 
Back
Top Bottom