Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,303
- 4,564
AFRO Centric view
Ni mtazamo wa kupinga unyonyaji, ukatili na uharibifu wa tamaduni za kiafrika ambapo umetolewa na wanazuoni wengi akiwemo Water Rodney, Prof Lumumba na Mandela.
Kimsingi hakuna jambo jema katika dunia kama kuitunza tamaduni, ikiwa hutafanikiwa kuilinda tamaduni yako maana yake utaruhusu mazingira yako yaharibiwe hivyo ndivyo Kutatokea machafuko ya ajabu kwa sababu tayari umeshapoteza asili yako, what will be next?
Uchumi utayumba
Mifarakano ya Kisiasa
Wizi na Rushwa
Uharibifu wa Rasilimali watu n.k
Naamini wapo waafrika wengi ambao wanpenda hii mifumo waliyoletewa lakini kawaida huu mfumo unawafevor watu wachache mno,kuna unyonyaji mkubwa unafanyika,utu na thamani yake hupotea sababu ya mifumo hii ya kizungu.
HIVI ULISHWAHI KUULIZA NI KIPINDI GANI (ZAMANI AU SASA) WATU WENGI WANAFARIKI KWA VITA,SIASA NA UGUMU WA MAISHA?
JE,KWA MFUMO HUU AFRIKA INAWEZA KUTOKA KWENYE MIKONO YA UMASIKINI KWA MISAADA TU,UBINAFSISHAJI?N.K
Kuna watu wachache walitaka kurejesha heshima ya muafrika ila kwa ujinga wa waafrika na tamaa zao kwa kusujudia ukoloni tumeshindwa kurudi katika mifumo sahihi.