Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,060
- 3,711
It is very funny!
1. Serikali imeweka utaratibu wa kupanga na kusimamia sekta zake mfano ujenzi wa barabara. Leo tumeuacha, Makonda ndiye anapeleka magreda site kuchimba barabara. Nasi tuko kimya tunaona sawa.
2. Vikundi vya kupinga vyama halali vya upinzani vinaasisiwa na vinatumia dini na mambo mengine kama kigezo. Tunaangalia na kuona ni sawa.
3. Watanzania wanajua kuna mambi makubwa ya kihalifu kiongozi huyo alihusishwa. Hakuna mtawala aliyeyasemea. Waathirika wa uhalifu huo bado wapo hai na wengine ni viongozi wa vyama. Ni nini kinaenda kutokea kwa visasi hivi vya wazi, bado haijulikani.
4. Vijana wengi nchini hawana ajira zinazoeleweka. Ubaguzi umeanza kusemwa wazi kuwa kijana asiyekuwa mwana CCM hana chake! Vijana wengi wameshaona hana msaada wowote hasa kwa wasomi. Hii ni kwa vile kiongozi huyo ana tuhumiwa kufoji vyeti, na imempa inferiority complex, hivyo kukaa meza moja na vijana wasomi ni ngumu sana. Anapenda wa size yake.
Kiongozi asiyefanya kazi kwa team work na kuwa yeye ndo bora ni vigumu kuliendeleza Taifa. Sitetei Uzembe wa watendaji kama upo. Pia tukumbuke zipo taratibu za kushughulikia Watumishi wazembe.
Sina uhakika kuwa mikutano ya hadhara ya Chama ndiyo njia sahihi na ya sheria za kiutumishi ya kushughulikia wazembe.