Nchi inatafunwa kwelikweli, Je wangapu tunakubaliana na HUKUMU ya kifo kwa hawa MAFISADI?

Aigle

JF-Expert Member
Jul 4, 2020
1,540
7,954
Ni ajabu sana nchi yetu inatafunwa kwelikweli..ni mwendo wa Mabilioni kwa Matrilioni, ripoti za CAG zilizopita hatujasikia popote wale waliokutwa na hati chafu au upotevu mkubwa wa fedha wakichukuliwa hatua.

Hii inaleta picha gani kwa kizazi hiki cha GEN Z na kijacho, kwamba nchi hii kufanikiwa lazima utafute gepu la kupiga pesa kifisadi, je itakua nchi ya wstu mafisadi, au nchi ya upigaji? Nchi za Asia kama China wameendelea, serikali haitaki mchezo na rasilimali za nchi, kila mtu anafanya kazi na kila mtu ana nafasi ya kufanya kazi na kufanikiwa, unapewa platforms, ukitaka ujue hili angalia hata michuano ya Olimpiki, wachezaji zaidi ya 90+ wana medali, hio inakuonesha nini, kwamba nchi inatoa platforms kwa kila mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi au mwenye kipaji afanikiwe, rasilimali za nchi zinalindwa kwelikweli, huku unasikia mara ngorongoro sijui imeuzwa, mara bandari imeuzwa, mara tunashtakiwa huko kwenye mahakama za kidunia tunadaiwa mafidia ya mabilioni kwa matrilioni, kwanini hawa watu wasinyongwe hadharani?

Leo hii unaona maandamano vijana wanabeba bendera za nchi za nje, unawaza nini? Watu wamechoka, ilianza Kenya, ikaja Bangladesh, mara Nigeria, na kote huko sababu ni kama hizi tu za kwetu, maisha magumu na UFISADI WA KUTISHA wa viongozi wa umma, ambayo inapelekea masuala muhim ya nchi kukwama, initiatives zs kuondoa umaskini hamna mana pesa zinaibwa na vikundi fulani fulani vya kifisadi. Watu wana akaunti za benki huko offshores mapesa yamefichwa huko..ulevi na tamaa za madaraka tu ili waendelee kuiba zaidi na kuchezea rasilimali za taifa watakavyo.. Tunavyopishana huko mitaani ni vile huwezi kujua ya mtu,ila watu wanalia maisha magumu. Pengine watoto wa watoto wetu watakuja kusema enough is enough..

Wanyongwe ama wasinyongwe?
 
Hiyo haitasaidia so long CCM ipo madarakani. Ufisadi ndani ya CCM ni mfumo yaani CCM ni incubator ya kutotolesha mafisadi, ukiuwa hao watakao chukua nafasi zao ni wabaya kuzidi, dawa ni CCM kuondoka madarakani tu.
 
Back
Top Bottom