Nimepita mitaani leo watu wako "attention" kusikiliza nini kitatokea kwenye kamati kuu ya CHADEMA, na wengine wanasema mbona kamati inachelewesha kutoa maaximio yake.
Kwa kweli Chadema hongereni kwa hatua hii muhimu mliyofikia kisiasa mkienda vizuri mna kesho nzuri shikilieni hapohapo huku mkiwaachia CCM makapi yanayounga juhudi, hili lichama basi tena limeshindikana kila mahala Chadema, Chadema Bungeni, mikoani nk. Well done