Mchuano ulikuwa kati ya Magufuli na Lowassa. Kwa hiyo ni sahihi kusema nchi imeponea chupuchupu na janga la Lowassa. Huyo unayemuita mkwere ndiye mtu wa kupongezwa kwa kumkatilia mbali Lowassa.Hivi tutafakari hivi angeingia Madarakani Membe ambaye alikuwa ndiyo ameandaliwa na Mh.Mkwere hali ingekuaje,Mwendelezo wa Makontena ungekuwaje.Kama angeingia shost wa mkwere tungeumia kiasi gani!! Nafikiria nashindwa kujua haya yaliyofichuka yangekuwaje.
Hata kama sikumpigia kura JPM lakn kwa haya Membe angetuumiza sana maana angefanya kazi ileile ya mkwere.
Hivi tutafakari hivi angeingia Madarakani Membe ambaye alikuwa ndiyo ameandaliwa na Mh.Mkwere hali ingekuaje,Mwendelezo wa Makontena ungekuwaje.Kama angeingia shost wa mkwere tungeumia kiasi gani!! Nafikiria nashindwa kujua haya yaliyofichuka yangekuwaje.
Hata kama sikumpigia kura JPM lakn kwa haya Membe angetuumiza sana maana angefanya kazi ileile ya mkwere.
Mchuano ulikuwa kati ya Magufuli na Lowassa. Kwa hiyo ni sahihi kusema nchi imeponea chupuchupu na janga la Lowassa. Huyo unayemuita mkwere ndiye mtu wa kupongezwa kwa kumkatilia mbali Lowassa.
Mchuano ulikuwa kati ya Magufuli na Lowassa. Kwa hiyo ni sahihi kusema nchi imeponea chupuchupu na janga la Lowassa. Huyo unayemuita mkwere ndiye mtu wa kupongezwa kwa kumkatilia mbali Lowassa.
Jiulize pia je angeingia low-ass-a na freelance mbo-w-e hayo aliyofanya jpm yangefanyika?
Mchuano ulikuwa kati ya Magufuli na Lowassa. Kwa hiyo ni sahihi kusema nchi imeponea chupuchupu na janga la Lowassa. Huyo unayemuita mkwere ndiye mtu wa kupongezwa kwa kumkatilia mbali Lowassa.
Nashukuru hamjatumia busara kunyamaza nimefurahi kuwahamu kuwa ni wajinga na wapumbavu.
Mchuano ulikuwa kati ya Magufuli na Lowassa. Kwa hiyo ni sahihi kusema nchi imeponea chupuchupu na janga la Lowassa. Huyo unayemuita mkwere ndiye mtu wa kupongezwa kwa kumkatilia mbali Lowassa.
Hujaeleweka ebu funguka zaidi.
Wewe endelea na stori zako za vijiweni.Kwa taarifa yako mkwere hakuwa na ubavu wa kumkata Lowasa... Aliyemkata Lowasa ndiye aliyemkata Membe..tafakari. Asante Mkapa na Mwinyi kwa kumkata Membe na Lowasa na kutupa Magufuri.
Hawa wazungusha mikono wanajifanya hawaoni hilo. Jamaa wana akili za ajabu ajabu.kweli mkuu lowassa alikuwa janga tena kubwa, asante bwana kwa kutunusuru na janga.
Hasira za nini sasa wewe lofa.Nashukuru hamjatumia busara kunyamaza nimefurahi kuwahamu kuwa ni wajinga na wapumbavu.
Labda wamerogwa. Chama hakina katibu mkuu zaidi ya miezi mitatu, hakuna anayehoji kwanini katiba inapuuzwa. Kuna watu wamepewa ubunge viti maalum wakiwa bado wanachama wa ccm, lakini mijitu haitaki kuangalia hayo. Ina kitu kichwani kweli hii misukule?!Hawa wazungusha mikono wanajifanya hawaoni hilo. Jamaa wana akili za ajabu ajabu.
wanatakiwa kuwa na akili hizohizo ili 2020 tena tuwapige kanzu,Hawa wazungusha mikono wanajifanya hawaoni hilo. Jamaa wana akili za ajabu ajabu.
Wana hasira kweli. Nilishangaa siku mawaziri wanaapishwa ITV waliingia mitini.Mungu ni mkubwa Lowassa angetukamua mpaka Damu,Maana wale rafiki zake waliokuwa wanamchangia fedha za Kanisani na Miskitini wangejigawia vitalu.
Asante kikwete kwa kuja na jina la Magufuli Mfukoni.